Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Hii ni takataka eti Askofu, nani alimpa Uaskofu. These are stupid self proclaimed bishops!@
 

Uliza sasa huo Uaskofu aliupata vipi.
 
Viongozi takataka,. Bandari ni suala la Siasa???


Huyu amesoma Biblia kweli?? Anajua watu wa Mungu ambao Mungu aliwatumia kuwaseme Raia?? .
 
Huyu ni askafu au kibaka!?
 
Askofu ananuka vumbi kuanzia juu mpaka chini
 
Mtu mwenyewe ni mvuta bangi ati Askofu wa Ufunuo labda bangi.
 
Acha ujinga.
 
mchungaji wa kanisa linalopatikana Tanzania tu, hizi ni njaa zinawasumbua.
 
Hawa kweli wa kuhurumiwa baadala wajadili mkataba uliopingwa na TEC wao wanaushambulia ukatoliki.
CCM wana mbinu za kizamani kweli, wamekusanya wahuni wa Tiss na majobless na kuwashonea mavazi ya kiaskofu ili waigize ni maaskofu. Lakini ukweli sio maaskofu bali ni matapeli wanaotaka kututoa kwenye reli. Na isitoshe hakuna popote TEC wameongelea siasa bali uwekezaji wa mkataba wa kihuni wa bandari. Hapo walipo maaskofu wa RC wanacheka ile mbaya maana wanajua jamaa wanajitahidi kupambana na ukweli bila mafanikio.
 
Maaskofu ninao waamini ni wa;
Kanisa la RC
Kanisa la KKKT
Kanisa la FPCT
Anglican Church
Kanisa la AICT
Kanisa la EAGT&TAG
Kanisa la Moravian

Wengine hapana.
 
Ninawavyowafahamu viongozi wa kanisa katoliki kuanzia jumuiya hadi maaskofu, hakuna atakayehangaika kumjibu.
 
Eti huyu naye Eti huyu naye ni Askofu!!!! duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…