Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Huyu ni askofu kweli mbona kama panya road
 
Namshukuru Mungu kunifanya kuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki la Mitume, Kanisa lisiloyumbishwa wala kutishwa na mtu au kitu chochote chini ya jua hili.
 
Mqkanisa kama magenge ambayo hayana mifumo inayo eleweka njaa zinawaaongoza

Haya yanayoeleweka ndio yako hivi ??

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
 
Haya yanayoeleweka ndio yako hivi ??

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
Unapenda ishu za ushoga sana
 
Jamani hamuwezi kupambana na Kanisa Katoliki. Mtahangaika tu bure.
 
Kanisa la ufunio ilo ni kanisa au genge lakuiba sadaka na matoleo ya waumini iv ata wanamatawi mangap Tz
Makundi ya wahuni kuita makanisa ni zambi sana kwa Mungi
Mtakataana wenyewe. Sisi tuko zetu palee tunawazoom. Sasa hivi kila atakayekuwa na mawazo tofauti na hao jamaa atatukanwa matusi yote. Ila hata chizi atakayotoka jalalani hata akisema tu kwa bahati mbaya, naunga mkono Tamko, basi hapo hapo ataitwa mwelevu na ana akili nzr na pongezi gunia zima.
 
Huyu bendera ndiye mchungaji wa yule demu wa mwanza anayejiita mungu zumaridi au siye?
Ukifuatilia episodes za huyu mwamba wa Mungu mnaweza kupoteana. Yule zumaridi kwa huyu ni malaika. Dunia ina mambo mengi
 
Huyo bendera ni bendera fuata upepo. Huyo babu wa upako hata kuusoma mkataba hajausoma. Mimi siyo mkatoliki, lakini linapokuja swala la kulinda rasilimali za nchi acheni "catholic the giant" atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…