Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #101
Hata mama yake na Muta alikuwaga askofuEti huyu naye
Eti huyu naye ni Askofu!!!! duh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mama yake na Muta alikuwaga askofuEti huyu naye
Eti huyu naye ni Askofu!!!! duh.
Ila yenye makao makuu nje kwa weupe yaongee jivunie chako Basi kanisa limeanzishwa ndan ya Tanzania makao makuu dar, lakini la Roma limeletwa Kuna tofauti gani na waarabu wa Dubai kwa Mali ya wazawa. Panua ufahamuHaya Makanisani ya watu binafsi yakae Kwa kutulia View attachment 2725075
Matawi Tanzania nzima yapo mkuuKanisa la ufunio ilo ni kanisa au genge lakuiba sadaka na matoleo ya waumini iv ata wanamatawi mangap Tz
Makundi ya wahuni kuita makanisa ni zambi sana kwa Mungi
Wewe unasali kwa askofu Bendera?Matawi Tanzania nzima yapo mkuu
Huyu ni askofu kweli mbona kama panya roadASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa, washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles Fortunatus
View attachment 2725068
Hekima ya Mungu Ni upumbavu kwa wanadamu na upumbavu wa wanadamu ndo hekima ya Mungu. Kila Jambo unaloliona Ni ujinga ndo Mungu alifanya hivo sbb hata siku ya Mungu sio Nuru Ni giza.Mtu mwenyewe ni mvuta bangi ati Askofu wa Ufunuo labda bangi.
Katika moja ya tawi lake so nice ndioWewe unasali kwa askofu Bendera?
Tawi lipi unakojumuikaKatika moja ya tawi lake so nice ndio
ShinyangaTawi lipi unakojumuika
Kwanini Mkuu?Watu wenye akili za hivyo awakawii kuchoma waumini wao moto et wanaenda mbinguni kwa pamoja.
Namshukuru Mungu kunifanya kuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki la Mitume, Kanisa lisiloyumbishwa wala kutishwa na mtu au kitu chochote chini ya jua hili.ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa, washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles Fortunatus
View attachment 2725068
Mqkanisa kama magenge ambayo hayana mifumo inayo eleweka njaa zinawaaongoza
Unapenda ishu za ushoga sanaHaya yanayoeleweka ndio yako hivi ??
In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
Mtakataana wenyewe. Sisi tuko zetu palee tunawazoom. Sasa hivi kila atakayekuwa na mawazo tofauti na hao jamaa atatukanwa matusi yote. Ila hata chizi atakayotoka jalalani hata akisema tu kwa bahati mbaya, naunga mkono Tamko, basi hapo hapo ataitwa mwelevu na ana akili nzr na pongezi gunia zima.Kanisa la ufunio ilo ni kanisa au genge lakuiba sadaka na matoleo ya waumini iv ata wanamatawi mangap Tz
Makundi ya wahuni kuita makanisa ni zambi sana kwa Mungi
Ukifuatilia episodes za huyu mwamba wa Mungu mnaweza kupoteana. Yule zumaridi kwa huyu ni malaika. Dunia ina mambo mengiHuyu bendera ndiye mchungaji wa yule demu wa mwanza anayejiita mungu zumaridi au siye?