Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Risasi ikamlemaza Lissu ubongo halafu bado mnashindwa kujibu hoja zake? basi nyie mtakuwa ndio mazezeta kabisa.

Na huyo mtoto wa damu aliyetelekezwa na Kakobe, wewe ndie mama wa mtoto?!
Hakuna aliyeshindwa kujibu hoja za lissu au yeyote Yule, sema kina lissu na co akili zao zimeshajityuni kukataa tu chochote kinachofanywa na serikali watu kama hawa hata upige zeze na kinubi, imba mapambio yote hawawezi wakaelewa make wameamua kukataa tu bila sababu yoyote ya maana.
 
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Mbongo hawezi kukaa siku bila kuzungumza neno "laana"
Mzungu hawezi kukaa siku bila kuzungumza neno "blessing"
 
Mama apige kimya tu mpaka watachoka! Na angefanya haraka DP World waanze shughuli pale!
 
Back
Top Bottom