Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba zilizizoharibikiwa zikazaliwa kwa bahati mbaya mnakera sana kwa hoja zenu za makalioniAskofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
DPW ni karata yake mbovu ya kummaliza kisiasa.Mama apige kimya tu mpaka watachoka! Na angefanya haraka DP World waanze shughuli pale!
Huu si upepo. Huu ni uhalisia. Mkataba watanzania wanasema haufai. Unahitaji marekebisho.Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila wengi wanazidi kuibuka kadri siku zinavyosogea..
Nafuu mie kuliko wewe uliyezaliwa ni taahira kabisa kabisa.Mimba zilizizoharibikiwa zikazaliwa kwa bahati mbaya mnakera sana kwa hoja zenu za makalioni
Kusema kweli, Kakobe kaongea maneno machache lakini ana hoja nzitoUkweli ni kwamba Muundo wa Muungano wetu ni wa kipekee, pengine kidogo unaweza ukawa unafanana na ule uliokuwa wa Senegal na Gambia.
Kama alivyouliza Askofu, ni jambo la kushangaza kwamba kwa upande wa bara, mambo yasiyo ya muungano yanasimamiwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano. Hata kuna nyakati ambazo Wizara ambayo si ya muungano inasimamiwa na Waziri kutoka upande wa Zanzibar, mfano Mbarawa ashawahi kuwa waziri wa wizara ya maji.
Kwanini nguvu kubwa itumike kulinda jambo ambalo kwa macho ya wengi linaonekana lina kasoro, kuna haja gani ya kuongoza watu wanaonung'unika? Kwanini isifanyike kura ya maoni kuamua kama kuna haja ya kuwa na Muungano au la, kama haja ipo ndipo turudi kwenye muundo wake.
Hili la Muundo wa Muungano ndo lilikuwa sababu kubwa ya Bunge la katiba kuvurugika. Kama alivyosema Askofu hapo juu, jambo hili tunaliahirisha tu ila kiukweli litakuwa linatuwinda na kujadiliwa kila wakati.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Ahsante.
Tanganyika lazima irudi na iwe na mtawala wake na kuwe na serikali ya shirikisho. katiba katiba.Serikali tatu halikwepeki Katiba mpya Katiba mpya Katiba mpya.
Haswa.Tanganyika lazima irudi na iwe na mtawala wake na kuwe na serikali ya shirikisho. katiba katiba.
Unajua uhamiaji ni kurasini tu hapo. Kuwa raia mwema na ukatoe taarifa.Hakuna watu wanapigania Tanganyika kama warundi...
The irony of it😅
Hamna kitu kama hiko, huu unaenda kuvunjika.Serikali tatu halikwepeki Katiba mpya Katiba mpya Katiba mpya.
Wachache Ndio watakuelewa. Most of people don't know how the game isDPW ni karata yake mbovu ya kummaliza kisiasa.
Hadi sasa hana ujasiri wowote.
Nyie mpeni kiburi akaze fuvu hamjui kuwa huu ni mtego toka kwa wanaccm kindaki ndaki?
Mnafikiri eti wapinzani ndio tunapinga DPW.
Subiria mtaona muda si muda
Mwoga na hana uwezo kushughulika haya masuala.Mama apige kimya tu mpaka watachoka! Na angefanya haraka DP World waanze shughuli pale!
Hamna kitu kama hiko, huu unaenda kuvunjika.Kweni tunacholilia ni Serikali yetu
Tukikusanya maoni ya Zanzibar hapatakuwa na Muungano. Wenzetu hawautaki na ni lazima tuwape uhuru wao.Hebu fafanua zaidi utauvunjaje kama mhogo.
Nusu ya Wazanzibari ni Wazanzibara.Tukikusanya maoni ya Zanzibar hapatakuwa na Muungano. Wenzetu hawautaki na ni lazima tuwape uhuru wao.
Pande zile kwenye Muungano wanakuwa Wazanzibari (wamoja). Wana mtazamo mmoja.Nusu ya Wanzibari ni Wazanzibara.