Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Wewe una laana na inawezekana uliona uchchi ambo haukuhusu
 
Inaonekana hukuelewa alichosimamia katika hili.

Mwalimu Nyerere "hakuiua Tanganyika" ili Zanzibar iitawale au iitumie Tanganyika.

Inabidi ulitafakari hili kwa makini ili ulielewe vizuri na uache kulaumu kwa vile jambo unalolaumu juu yake huna ufahamu nalo.
Ipo wapi Tanganyika, unawajua wale 55 akina Njeru Kasaka kwanini alitishia watu kurudisha kadi ya CCM.
 
Ipo wapi Tanganyika, unawajua wale 55 akina Njeru Kasaka kwanini alitishia watu kurudisha kadi ya CCM.
Mkuu 'Rufiji dam', ninao uelewa wa kutosha kabisa kuhusu hilo sakata la G55.
Ni muhimu utambue kwa nini hakuwa anataka Tanganyika irudishwe wakati huo.

Pia, inabidi utambue sababu zilizofanya muundo uwe kama ulivyokuwa wakati muungano ulipoanzishwa. Lengo halikuwa kuwepo kwa serikali tatu, bali serikali moja baada ya kuondoa hofu ya Zanzibar "kumezwa" na Tanganyika.

Na wala hapakuwepo na lengo la kuifanya Zanzibar ndiyo ionekane kuwa inaitawala Tanganyika kama inavyojionyesha waziwazi sasa hivi.

Hali hii iliyopo sasa hivi ni matokeo ya udhaifu wa viongozi waliofuata, kuhakikisha kuwa Muungano unaendelea kuimarishwa kwa usawa wa wananchi wa nchi hii.
Badala yake, CCM kwa udhaifu wao kukabili kundi dogo la wapemba, njia waliyoona ni bora ni kuwapa kama rushwa hivi kwa kukubali masharti yaliyowasilishwa kila mara kama "kero za muungano" Badala ya kuimarisha muungano, ndio wakawa wanaudhoofisha muungano

Kiujumla, watu walishakubali kuondoka kwa Tanganyika. Hata hilo kundi la G55 unalolizungumzia hapa walielewa maelezo yaliyotolewa wakati huo. Tanganyika inadaiwa kwa nguvu zote sasa hivi (nami nikiwa mmoja wa wadai hao) kwa sababu sasa ni wazi kwamba Muungano ulionuiwa tokea mwanzo, sasa hivi umegeuzwa na kuwa wa upande mmoja kufaidi matunda ya muungano kwa hasara za upande wa pili.

Binafsi sioni maana ya Muungano wa serikali tatu, ni bora kabisa kuachana na wazo la Muungano moja kwa moja.

Kwa hiyo, bado ninakukatalia kabisa kwamba kwa haya tunayoyashuhudia sasa hivi ndani ya Muungano ni matokeo ya maamuzi yaliyofanyika enzi za Nyerere. Haya ni matokeo ya kazi za viongozi hawa waliopo sasa na wengine walioachia malengo ya mwanzo na kuishia kutoa ruhwa kwa wapiga kelele nyingi wa Pemba.
 
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.

Plse punguza kufikiri kitoto.
Matamshi ya Askofu Z Kakobe, huhitaji IQ kubwa kuweza kuelewa.
 
Wewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya hapa majibu
 
Attachments

  • WAZIRI MBARAWA - 'BANDARI ya ZANZIBAR WALISHASAINI MKATABA SIKU NYINGI', AWA.mp4
    18.7 MB
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Lissu alitaka kuuliwa na rais wa awamu ya tano. Hilo liko wazi.
Kwa kakobe naungana na wewe,haaminiki yule.
 
Miaka ya sabini na themanini Mwalimu Nyerere alikuwa akiwasomba Wasukuma na kuwapeleka Zanzibar kwa maelfu unafikiri vizazi vyao vinataka kujitenga?
Hatuongelei fikira zetu hapa tunaongea facts. Zanzibar wanapigia kura CUF/ACT ambao hawataki Muungano labda hao wasukuma walipanda boti wakarudi makwao.
 
Wewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zake
 
Hv Kuna ugumu gani wa kuformulate hili jambo kwamba tuungane ktk hili na hili na mengn kila mtu ajitegemeee
Tatizo watanganyika tunaiona katiba mbovu inapotokea rais wa nchi anatoka visiwani. Akiwa kutoka bara tunaona mambo shwari tuu. Kuna haja ya kuwa na kura ya maoni kwa pande zote za muungano kama tunahitaji muungano ama laa
 
Back
Top Bottom