Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Duuh kama movie vile [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una laana na inawezekana uliona uchchi ambo haukuhusuAskofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Ipo wapi Tanganyika, unawajua wale 55 akina Njeru Kasaka kwanini alitishia watu kurudisha kadi ya CCM.Inaonekana hukuelewa alichosimamia katika hili.
Mwalimu Nyerere "hakuiua Tanganyika" ili Zanzibar iitawale au iitumie Tanganyika.
Inabidi ulitafakari hili kwa makini ili ulielewe vizuri na uache kulaumu kwa vile jambo unalolaumu juu yake huna ufahamu nalo.
Mkuu 'Rufiji dam', ninao uelewa wa kutosha kabisa kuhusu hilo sakata la G55.Ipo wapi Tanganyika, unawajua wale 55 akina Njeru Kasaka kwanini alitishia watu kurudisha kadi ya CCM.
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Wanajua sema UPUMBAVU tuIna maana CCM bunge la mbumbuu na Samia na Mwanasheria mkuu wa serikali hawajui kama Dubai sio nchi?
Umeniita? Kulikoni?
Na haifichikiTanganyika haiepukiki!
Haya hapa majibuWewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Lissu alitaka kuuliwa na rais wa awamu ya tano. Hilo liko wazi.Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Hatuongelei fikira zetu hapa tunaongea facts. Zanzibar wanapigia kura CUF/ACT ambao hawataki Muungano labda hao wasukuma walipanda boti wakarudi makwao.Miaka ya sabini na themanini Mwalimu Nyerere alikuwa akiwasomba Wasukuma na kuwapeleka Zanzibar kwa maelfu unafikiri vizazi vyao vinataka kujitenga?
Kakobe arudishwe kwao burundi ndani ya saa 24 kuanzia saa hii.
Kama ni laana mbona munatumia mabavu kuidhiti zanzibarZanzibar ni laana kwa Tanganyika, tujiweke mbali na hii laana, hawa watu ni parasites
Mwenye zanzibar hakuna lakini wazanzibari wapoHakuna mwenye Zanzibar wote wahamiaji akhui.
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu wanasema kila mmoja anasimamia bandari zakeWewe ambaye umeumbwa kukubali kila jambo, tufafanulie kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo kwenye mkataba tukuelewe, pia Tueleze kwa Nini DP World wamiliki bandari zote za baharini , maziwa na nchi kavu kwa kipindi kisicho na ukomo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kosa lake niniKakobe arudishwe kwao burundi ndani ya saa 24 kuanzia saa hii.
Bado ina HitMbona hii clip ya zamani?
Anyway bado maneno yake yamashita!
😆😆😆Kwani wewe ndiye mama wa mtoto ? Mambo ya watu waachie wenyewe
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Tatizo watanganyika tunaiona katiba mbovu inapotokea rais wa nchi anatoka visiwani. Akiwa kutoka bara tunaona mambo shwari tuu. Kuna haja ya kuwa na kura ya maoni kwa pande zote za muungano kama tunahitaji muungano ama laaHv Kuna ugumu gani wa kuformulate hili jambo kwamba tuungane ktk hili na hili na mengn kila mtu ajitegemeee