Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu wabishi, badala ya kujifunza.
Mtu akisema kwamba yeye ni mchawi na ameenda kuzimu mara nyingi na amekutana live na shetani anaaminika kirahisi sana.
Mtumishi wa Mungu akisema ameenda mbinguni kwa baba yake mnapinga, why?
Mna laana nyie.
What is astral projection?
Kama mtu anaweza kuuacha mwili wake hapa Ŕegent Estate, akasafiri na roho yake hadi Washington Dc kisha akarudi katika mwili wake (this is something which even science ime prove kwamba kinawezekana) inakuwaje mnakataa mtu kwenda mbinguni?
Je Mungu anafanya mapenzi yake kwetu au ni sisi tunamfundisha Mungu kufanya kazi yake?
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Mshana Jr karibu kwa neno