Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

Wewe nadhani uliwai kutumbukia chooni wakati wa utoto sio bule[emoji14][emoji14][emoji14]
Umenifananisha. Aliyetumbukia shimoni hadi kufunikwa gubigubi na kinyesi sio mimi ila mama yako mzazi. Yaani alibatizwa ubatizo wa kinyesi kingi, ndio maana katulwtea taahira 25000q
 
Kuacha ubishi hakuna maana ya kukubali kila kitu kisa aliyesema anaaminika kuwa ni mchungaji..!!!

Kubisha kunatokana na mafundisho tuliyopewa kuwa mbinguni unafika baada ya hukumu unayopata baadabya kufa kwako. Haya ya mtu kufika mbinguni na kurudi kama unaenda Kishumundu na kurudi ni mapya kwetu
Hukumu imeisha fanyika?
 
Zumaridi ni mzinzi anayèongozwa na maroho ya zinaa. Anawaza mjegejo tu muda wote
Hao wengine umejuaje kuwa hawafanyi hayo hao kwasababu zuma yake anayasema hadharani wengine wanayafanya gizani? Ukijua mambo ya watu kuna muda unaweza kumwona zuma ni mtakatifu.
 
Hakuna lolote hujifanya wameenda mbinguni wapate kuaminika wawapige watu pesa.
 
Mungu mwenyewe alipotaka kuongea na kiumbe chake cha kwanza Adam hakukiita juu bali alikifuata duniani bustanini
 
Wafuasi wa mwakasege wanajarbu kupambana
Hamna , mi ni mu RC pure ila ninaeruhusu tafakari ya Kila ninalosikia na kutoa nafasi ya watu kuyatafakari Yale ninayoamini pasipo kuwalazimisha waamini ninayoamini huku nikiwanyima uhuru wa kuyatafakari kwanza ,,,,,,unaamini Nini !?ili na mi nikutafakari ili nifanye maamuzi!!
 
Mkuu umedadavua kwa umakini sana, kama watu wanaamini mambo ya ulimwengu wa kiroho wa nguvu za giza kwamba yapo na watu wanayashiriki ikiwemo kupaa na nyungo usiku na kupita kwenye kuta kuwanga kwenye majumba ya watu na kufukua makaburi usiku kuchukua maiti, mambo ya chuma ulete, majini nk.

Iweje washindwe kuamini kwamba mambo ya kiroho ya ulimwengu wa nuru na yenyewe yapo na kuna watu wanaoyashiriki ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa rohoni kwenda kuiona pepo au kuwasiliana na Malaika au Mungu?

Ni bora mtu kama ni muumini huna ushuhuda wa hayo mambo usikilize kwa wengine na wewe uombe kama kuna jambo unahitaji kupata ufunuo utafunuliwa tu, kuliko kujifanya ujuaji wa kupingapinga unajikuta unajifungia baraka za kuona mafunuo au maono.

Mimi kuna mambo mengi tu niliyaona kama ndoto au maono na yakaja kujidhihirisha live.

Na hata maono ya kushuka kwa viumbe vya ajabu duniani na kuanza kwa machafuko ya dhiki kuu yanayoongelewa kwenye ufunuo. Unaweza kuunganisha dots mambo ya UFO ambayo serikali ya marekani imeyafanya kuwa siri kubwa.
Kwa ufupi sana, jumbe za kiroho zinahitaji maandalizi, ukimwambia Mtu wiki ijayo mwisho wa Dunia wakati hujamwambia katika maisha yake Kuna viashiria vya kiroho, vinatambulikaje,? Na je Mungu anajidhihirisha vipi katika ulimwengu wa Sasa, unakuwa unamchanganya tuu,,, cjajua mwakasege alianzia wapi kusema hayo!!lakini ambao wamekuwa wakimfuatilia wanaweza kuwa walimwelewa, shida ni sisi tuliokuja kusikia pasipo ya kuwa sehemu ya utume wake,,,,ndio maana jumbe za kiroho kamwe hazitokuja kuwa za watu wote, sababu hata Mungu alisema wapo walioitwa, na hata Leo tunawaona

Unajua bible Iko kama kumbukumbu fulan, ambayo as the time goes Kuna ambao watakuja SEMA ilitungwa,just as now, ila kama mafundisho haya yangeendeshwa kwa uhalisia wa Sasa , kama kuangalia Maisha ya watu wanaoishi au walioishi Leo na impact zao katika jamii, labda, wengi wasingekuwa na mashaka,. Nimeamini ukristo kwa miujiza halisi ya watu ninaowafamu, Kisha nikaielewa zaidi biblia , na Hilo limechangia kias kikubwa kutokuwa na mashaka na biblia,,,,hata ninapomsikiliza mtu napitia those experiences na Kisha napima na biblia, Nina mengi, that's y namuheshimu Kila mtu anayemzunguzia Mungu, nakusikiliza ,Kisha nakuadd kwenye tafakari, Fanya hivo , Kuna ujumbe wa mwakasege, ukiutafakari sana utapata majibu ya Mungu kupitia ujumbe wa mwakasege

NB Yesu aliwaambia ,tubuni ,siku za mwisho zimekaribia, fikilia jf ingekuepo kipindi hicho, hiyo mijadala, Hadi Leo siku hizo Bado tuu! Lakin ukitafakari Mungu atakupa Majibu kwa ujumbe huo wa Yesu klisto, sorry, nilisema kwa ufupi, (unisamehe)
 
Mkuu umedadavua kwa umakini sana, kama watu wanaamini mambo ya ulimwengu wa kiroho wa nguvu za giza kwamba yapo na watu wanayashiriki ikiwemo kupaa na nyungo usiku na kupita kwenye kuta kuwanga kwenye majumba ya watu na kufukua makaburi usiku kuchukua maiti, mambo ya chuma ulete, majini nk.

Iweje washindwe kuamini kwamba mambo ya kiroho ya ulimwengu wa nuru na yenyewe yapo na kuna watu wanaoyashiriki ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa rohoni kwenda kuiona pepo au kuwasiliana na Malaika au Mungu?

Ni bora mtu kama ni muumini huna ushuhuda wa hayo mambo usikilize kwa wengine na wewe uombe kama kuna jambo unahitaji kupata ufunuo utafunuliwa tu, kuliko kujifanya ujuaji wa kupingapinga unajikuta unajifungia baraka za kuona mafunuo au maono.

Mimi kuna mambo mengi tu niliyaona kama ndoto au maono na yakaja kujidhihirisha live.

Na hata maono ya kushuka kwa viumbe vya ajabu duniani na kuanza kwa machafuko ya dhiki kuu yanayoongelewa kwenye ufunuo. Unaweza kuunganisha dots mambo ya UFO ambayo serikali ya marekani imeyafanya kuwa siri kubwa.
Kwa ufupi sana, jumbe za kiroho zinahitaji maandalizi, ukimwambia Mtu wiki ijayo mwisho wa Dunia wakati hujamwambia katika maisha yake Kuna viashiria vya kiroho, vinatambulikaje,? Na je Mungu anajidhihirisha vipi katika ulimwengu wa Sasa, unakuwa unamchanganya tuu,,, cjajua mwakasege alianzia wapi kusema hayo!!lakini ambao wamekuwa wakimfuatilia wanaweza kuwa walimwelewa, shida ni sisi tuliokuja kusikia pasipo ya kuwa sehemu ya utume wake,,,,ndio maana jumbe za kiroho kamwe hazitokuja kuwa za watu wote, sababu hata Mungu alisema wapo walioitwa, na hata Leo tunawaona

Unajua bible Iko kama kumbukumbu fulan, ambayo as the time goes Kuna ambao watakuja SEMA ilitungwa,just as now, ila kama mafundisho haya yangeendeshwa kwa uhalisia wa Sasa , kama kuangalia Maisha ya watu wanaoishi au walioishi Leo na impact zao katika jamii, labda, wengi wasingekuwa na mashaka,. Nimeamini ukristo kwa miujiza halisi ya watu ninaowafamu, Kisha nikaielewa zaidi biblia , na Hilo limechangia kias kikubwa kutokuwa na mashaka na biblia,,,,hata ninapomsikiliza mtu napitia those experiences na Kisha napima na biblia, Nina mengi, that's y namuheshimu Kila mtu anayemzunguzia Mungu, nakusikiliza ,Kisha nakuadd kwenye tafakari, Fanya hivo , Kuna ujumbe wa mwakasege, ukiutafakari sana utapata majibu ya Mungu kupitia ujumbe wa mwakasege

NB Yesu aliwaambia ,tubuni ,siku za mwisho zimekaribia, fikilia jf ingekuepo kipindi hicho, hiyo mijadala, Hadi Leo siku hizo Bado tuu! Lakin ukitafakari Mungu atakupa Majibu kwa ujumbe huo wa Yesu kristo, sorry, nilisema kwa ufupi, (unisamehe
 
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Hebu tuseme nyumba yako inawaka moto. Ungetumia moto zaidi kuzima moto au ungetumia maji kuzima moto?
 
Back
Top Bottom