Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
African minds can be easily manipulated when it comes to spirituality. Kwa Mungu sio kwa shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufuru inatokea wapi sialienda mbinguni unatakiwa uaminiUnakufuru
Zumaridi ni muongo, alisema Mtakatifu Peter alitaka kumuoa. Biblia takatifu imesema wazi, mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Nabii wa uongo hupimwa kwa neno la Mungu.Mbona wakristo kwa Waislam mlimtolea povu Zumaridi mkamuona muongo!?
Matola Mavi acha ujuaji.Ndio maana tunashauriwa kula supper mapema kabla ya kwenda kulala kukuepusha na ndoto za kimweri.
Kukufuru ni kwenda kinyume na neno.Kufuru inatokea wapi sialienda mbinguni unatakiwa uamini
HeeeUnakufuru
Nimekufuru mimi au Zumaridi? Je utao bila kuonja?Unakufuru
Asante kwa andiko bora dadaake! Kwanza mimi nasema sio JF pekee, tena walau hapa kuna watu wanaweza kuhoji kwa hoja kama hivi, huko kwingine ni majanga kabisa!JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu wabishi, badala ya kujifunza.
Mtu akisema kwamba yeye ni mchawi na ameenda kuzimu mara nyingi na amekutana live na shetani anaaminika kirahisi sana.
Mtumishi wa Mungu akisema ameenda mbinguni kwa baba yake mnapinga, why?
Mna laana nyie.
What is astral projection?
Kama mtu anaweza kuuacha mwili wake hapa Ŕegent Estate, akasafiri na roho yake hadi Washington Dc kisha akarudi katika mwili wake (this is something which even science ime prove kwamba kinawezekana) inakuwaje mnakataa mtu kwenda mbinguni?
Je Mungu anafanya mapenzi yake kwetu au ni sisi tunamfundisha Mungu kufanya kazi yake?
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Mshana Jr karibu kwa neno
Kabisa zumaridi alienda piaJamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu wabishi, badala ya kujifunza.
Mtu akisema kwamba yeye ni mchawi na ameenda kuzimu mara nyingi na amekutana live na shetani anaaminika kirahisi sana.
Mtumishi wa Mungu akisema ameenda mbinguni kwa baba yake mnapinga, why?
Mna laana nyie.
What is astral projection?
Kama mtu anaweza kuuacha mwili wake hapa Ŕegent Estate, akasafiri na roho yake hadi Washington Dc kisha akarudi katika mwili wake (this is something which even science ime prove kwamba kinawezekana) inakuwaje mnakataa mtu kwenda mbinguni?
Je Mungu anafanya mapenzi yake kwetu au ni sisi tunamfundisha Mungu kufanya kazi yake?
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Mshana Jr karibu kwa neno
ProveAstral projection? Kwangu ni mental masturbation or niseme ni fantasy. Ni akili yako inakua inakucheza shere na kukupa unachotamani kukiona
Hapo sasa leo hii kisa kasema mwakasege na hutosikia wakizuia kusema mambo ya kusadikika. Tanzania kitu kile kile kinaweza kuwa kizuri au kibaya kutegemea kakisema au kukifanya nani. Tuna double standardsMbona wakristo kwa Waislam mlimtolea povu Zumaridi mkamuona muongo!?
Mimi sikubali kuwepo wa roho, kuwepo kwa Mungu, kuwepo kwa shetani, kuwepo kwa uchawi, astral projection na ujinga mwingine woote unaofanana na huo.JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu wabishi, badala ya kujifunza.
Mtu akisema kwamba yeye ni mchawi na ameenda kuzimu mara nyingi na amekutana live na shetani anaaminika kirahisi sana.
Mtumishi wa Mungu akisema ameenda mbinguni kwa baba yake mnapinga, why?
Mna laana nyie.
What is astral projection?
Kama mtu anaweza kuuacha mwili wake hapa Ŕegent Estate, akasafiri na roho yake hadi Washington Dc kisha akarudi katika mwili wake (this is something which even science ime prove kwamba kinawezekana) inakuwaje mnakataa mtu kwenda mbinguni?
Je Mungu anafanya mapenzi yake kwetu au ni sisi tunamfundisha Mungu kufanya kazi yake?
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Mshana Jr karibu kwa neno
I can't prove any between heaven or astral projection. Jaribu kuprove chochote kati ya hivyoProve
Zumaridi na Yesu wanavyeo sawa alilonena Yesu Zu anaweza tengua inatakiwa uelewe naukumbuke walati woteZumaridi ni muongo, alisema Mtakatifu Peter alitaka kumuoa. Biblia takatifu imesema wazi, mbinguni hamna kuoa wala kuolewa. Nabii wa uongo hupimwa kwa neno la Mungu.
Lk 20:34-36 SUV
Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo
Astral projection , ni kwà ajili ya viumbe kwà viumbe.....hao uliowataja sijui mashetani...sijui miji kama kwenda washington...vyote hivyo vimeumbwa na Mungu.JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu wabishi, badala ya kujifunza.
Mtu akisema kwamba yeye ni mchawi na ameenda kuzimu mara nyingi na amekutana live na shetani anaaminika kirahisi sana.
Mtumishi wa Mungu akisema ameenda mbinguni kwa baba yake mnapinga, why?
Mna laana nyie.
What is astral projection?
Kama mtu anaweza kuuacha mwili wake hapa Ŕegent Estate, akasafiri na roho yake hadi Washington Dc kisha akarudi katika mwili wake (this is something which even science ime prove kwamba kinawezekana) inakuwaje mnakataa mtu kwenda mbinguni?
Je Mungu anafanya mapenzi yake kwetu au ni sisi tunamfundisha Mungu kufanya kazi yake?
Tuache ubishi, tutafute maarifa na ufahamu, hasa wa mambo ya rohoni maana ndio msingi wa mambo ya mwilini.
Mshana Jr karibu kwa neno
Hii tabia yawanadini kumuinua huyu na kumgandamiza yule nitabia mbaya na yakishetani wajirekebishe waanze kuyachukulia mambo kwa usawa na adabuHapo sasa leo hii kisa kasema mwakasege na hutosikia wakizuia kusema mambo ya kusadikika. Tanzania kitu kile kile kinaweza kuwa kizuri au kibaya kutegemea kakisema au kukifanya nani. Tuna double standards