Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

Aiya man mi fiil ya man ? Na woman na cry, bomboclat wa gwan,

How yuh do? How dee do? How are you doing? Wah di pree? What's the motive? Everything bless? Is everything 'great' with you? Waa guh dung?
 
Tatizo Ufunuo wa Yohana umewatia ujinga Wakristo wengi.

Yohana hakuwa na ufunuo wowote, yeye alikuwa anaandika maandiko yake kumpiga spana kaisari Nero kwa mafumbo aliyekuwa akitesa Wakristo, hakuna ufunuo wowote.

Ni sawa na enzi za yule shetani wa Chato hats sisi Watanzania tulilazimika kuandika kwa mafumbo kuepuka utawala wake wa mkono wa chuma.
Mkuu mjomba wangu unamuita shetani wa chato.Kwenu hakuna wakubwa mkuu???
 
Mimi sikubali kuwepo wa roho, kuwepo kwa Mungu, kuwepo kwa shetani, kuwepo kwa uchawi, astral projection na ujinga mwingine woote unaofanana na huo.

In fact, I dare say, so far in the annals of humanity, it can be shown that, any claim of a supernatural event, is either an outright lie, or something that cannot be ruled out as a poorly understood natural event.

Hapo vipi?
Astral Projection is doable; ni kama yoga au zoezi la kukimbia. Na ukifanya AP utaweza kujua kama sehtani yupo; au Mungu yupo. By doing AP, you will be able to prove both
 
Astral Projection is doable; ni kama yoga au zoezi la kukimbia. Na ukifanya AP utaweza kujua kama sehtani yupo; au Mungu yupo. By doing AP, you will be able to prove both
Hizi ni imani tu, hujathibitisha kiuhalisia nje ya imani.
 
Back
Top Bottom