Astral projection mnaona inawezekana, ila mtu kwenda mbinguni na karudi haiwezekani. Rethink

Mbona zumaridi aliposema mlinyanyua midomo juu , huyo Mwakasege anauhalali gani acheni ujinga
 
You have nailed it...
 
Jumbe za rohoni ni kwa wale walio rohoni, ujumbe unaweza ukaja mkiwa mia Moja ,lakin Target ni kwa ajir ya mtu Moja,
Utabiri mwepesi kwa mtu wa rohoni ni kuambiwa mwisho wa Dunia umekaribia,maana yeye muda wote amejiandaa, haogopi kufa, haogopi kutoa Mali zake kama sadaka au msaada,maana unapozama rohoni sana kipimo Cha kwanza ni kuthamini maisha ya wenzako kuliko ya kwako, kipimo Cha pili ni kupokea jumbe za kidunia katika pande mbilimbili, (yaan in physical nature and in spiritual ways)hapa ndio mtu anaweza toa hoja ,wale wanaoishi katika mwili wakamuona ni kama akili zimemruka,,,,uwepo wa Mungu wa mbinguni ni spiritual pia,na uwepo wa shetan pia ni spiritual, ,kama uko kwa huyo wa mbinguni wenzako utawatambua wanapotoa jumbe zao(mf yule ana Mungu,na yule mh, si wa Mungu ninayemuamin ,japo anamtaja)......na wale walio wa upande wa shetan wanatambuana, ukija wewe wa Mungu Mkuu hawatakutambua ,ila utawachanganya,

Hitimisho ujumbe wa mwakasege siyo wa watu wote,ila walioitwa kwa upande ambao mwakasege yupo,hamna haja ya kugombana,

Amani ya Mungu Mkuu wa mbinguni iwe nanyi
 
Jambo moja nina hakika nalo tu kwamba mwisho wa siku nitakufa.
 
Wafuasi wa mwakasege wanajarbu kupambana
 
kwani we unakubaligi uwepo wa nini?
 
Paragraph ya mwisho umeteleza kidogo mkuu, Usiende huko.
 
Kifupi mtu kwenye uelewa na haua mambo ya astral projection kamwe hawezi kuamini katika dini yeyote sembuse kiongozi wa dini kusema kaenda mbinguni na kurudi.
Swali langu huyo Musa na Elia wanafananaje, weusi au wazungu. Na alijuaje ndo kina Musa.

Mi zamani nilikuwa napenda kusoma hadithi na kumbuka kuna kitabu kiliitwa 'Is it Possible' nlikisoma sana mpaka ni kawa naota npo na Lerionka porini akiwa na kibuyu chake cha maziwa tunapiga story.
Its mind illusion through dreams
 
This is a good way of Arguing!
Astral Projection ni practice inayo exist!

Iko Nerve moja kwenye mwili wa Kila Mwanadamu inaitwa Schiatic Nerve....pia Schiatic Muscle..

Hizi zina uwezo wa kuseparate A body and a Spirit at some few moments while still living!

Wako watu wamepractice na Wanafanya sehemu kubwa ya Astral Fantasy!

By the way-Unajua maana ya USINGIZI?

Iko hivi:
Mind is a spiritual product.
Mind produces Thought which is an advanced product of Mind..

Sasa chukulia mfano uko hapa Dar na unawaza kuhusu kupakia Container zako pale Dubai-Wakati umepeleka Minds zako pale Dubai maana yake ROHO yako imekwenda na iko Dubai...na unaweza tena kupeleka Minds zako pale Washington etc etc!

Kwa mtu wa hivo-Baada ya muda fulani anaweza kuhitaji kupumzika kidogo ama akasinzia....

Kusinzia ni REFRESHMENT YA BUSY SPIRIT!

Watu wengi na wasiotaka kufikiri zaidi kama Kiranga wanadhani UBONGO NDIO MIND...They are damn wrong and they will never enlarge their boundaries...of learning!

So topic ya Mbinguni siyo rahisi ku comprehend...lakini yafaa mtu a define MBINGU KWAKE NI KITU GANI..

IT IS DEFINABLE BUT IT HAS A LOT TO EXPLAIN!

SO far so good!
 
Kuacha ubishi hakuna maana ya kukubali kila kitu kisa aliyesema anaaminika kuwa ni mchungaji..!!!

Kubisha kunatokana na mafundisho tuliyopewa kuwa mbinguni unafika baada ya hukumu unayopata baadabya kufa kwako. Haya ya mtu kufika mbinguni na kurudi kama unaenda Kishumundu na kurudi ni mapya kwetu
 
Ndipo mnapojificha et mambo ya rohon, na wenzenu kule wanasema unakufuru, na wale wengine wanasema kafwirii, ila mimi nasema hv mungu yupo ila sio huyu wa kwenye bible na qurn mungu huyu ni mwongo tapeli muuaji mwizi, jambazi mpenda mademu,
 
Mkuu umedadavua kwa umakini sana, kama watu wanaamini mambo ya ulimwengu wa kiroho wa nguvu za giza kwamba yapo na watu wanayashiriki ikiwemo kupaa na nyungo usiku na kupita kwenye kuta kuwanga kwenye majumba ya watu na kufukua makaburi usiku kuchukua maiti, mambo ya chuma ulete, majini nk.

Iweje washindwe kuamini kwamba mambo ya kiroho ya ulimwengu wa nuru na yenyewe yapo na kuna watu wanaoyashiriki ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa rohoni kwenda kuiona pepo au kuwasiliana na Malaika au Mungu?

Ni bora mtu kama ni muumini huna ushuhuda wa hayo mambo usikilize kwa wengine na wewe uombe kama kuna jambo unahitaji kupata ufunuo utafunuliwa tu, kuliko kujifanya ujuaji wa kupingapinga unajikuta unajifungia baraka za kuona mafunuo au maono.

Mimi kuna mambo mengi tu niliyaona kama ndoto au maono na yakaja kujidhihirisha live.

Na hata maono ya kushuka kwa viumbe vya ajabu duniani na kuanza kwa machafuko ya dhiki kuu yanayoongelewa kwenye ufunuo. Unaweza kuunganisha dots mambo ya UFO ambayo serikali ya marekani imeyafanya kuwa siri kubwa.
 
Wewe nadhani uliwai kutumbukia chooni wakati wa utoto sio bule[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…