mm kwa apa nilipofikia ata mkikataa kula sijali aisee yaan ata tushiriki msiba wanafamilia tu na kuzika sijali kabisaaaa.Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula.
Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu akatoka jikoni, walipoulizwa wapishi mbona hampakui kugawa kwa waombolezaji wakajibu yeye akija kwenye misiba yetu akimaliza kupika anakaa pembeni hali sisi tunawezaje kula kwake?
Baada ya jibu hilo waa ndugu wakajitokeza kupakua na kuanza kugawa sahani ila kila aliyepewa alikataa chakula hicho hadi sisi tukaona isiwe kesi nasi pia hatukukigusa ila kwa kuwa tulikua na njaa tukatoka kwenda kula mgahawani.
Kile chakula kilibaki kama kilivyo watu wakazika tukatawanyika kulekule makaburini hatukurudi nyumbani tukaondoka zetu.
Haa Mabadiliko Ya Kizazi Chetu Yanakwenda Kasi Sanamm kwa apa nilipofikia ata mkikataa kula sijali aisee yaan ata tushiriki msiba wanafamilia tu na kuzika sijali kabisaaaa.
Mbwembwe za mwafrika,can you imagine mtu kafa kwa kukisa sh 10,000 ya vipimo ila akifa ananunuliwa ng'ombe Mmoja kwa ajili ya kuwalisha waombolezaji.mm kwa apa nilipofikia ata mkikataa kula sijali aisee yaan ata tushiriki msiba wanafamilia tu na kuzika sijali kabisaaaa.
Hapo ndio utajua kuwa binadamu tunategemeana.
Waafrica tunachekesha sana! Watu wapo msibani lakini macho kodo kuangalia nani anakula nani hali🚮Sio vizuri,wangekula tu, maana wangempa funzo pia,
Sasa kupika na kumuachia vyakula atavipeleka wapi😥
Sana,maana wanakutizama unakula au hauli😁,Waafrica tunachekesha sana! Watu wapo msibani lakini macho kodo kuangalia nani anakula nani hali🚮
ya moto hii, akili yetu, malezi na makuzi yetu yatakupinga kwa sasa ila sababu kubwa ni tunaishi miaka 20-50 ya mataifa mengine na kwakua tunaendela kuwa kama wao ipo siku itakua hivyo kwenye misiba yetu piaMbwembwe za mwafrika,can you imagine mtu kafa kwa kukisa sh 10,000 ya vipimo ila akifa ananunuliwa ng'ombe Mmoja kwa ajili ya kuwalisha waombolezaji.
Nimekuwa nikipinga sana utaratibu wa watu kula msibani hasa wenyeji,chakula kipikwe kwa wale to wametoka mbali ila wakaazi wakale kwao.
Tena tamu haswa ukutane na dona na dagaa chukuchuku.Sana,maana wanakutizama unakula au hauli😁,
Mie nawaambiga kabisa msiniwekee ugali,,,sijui kwangu pia wataniachia maugali😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣Kigoma sio..... huko mnalogana sana ....... huenda ji mtu alivunja nazi watu wasile msibani hiyo siku
Ugali msibani anasonga nani?Sana,maana wanakutizama unakula au hauli😁,
Mie nawaambiga kabisa msiniwekee ugali,,,sijui kwangu pia wataniachia maugali😁😁