MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Wanapenda hivyo vyakula?Beba watu wa stand ,haibaki hata punje.
Wanapenda hivyo vyakula?Beba watu wa stand ,haibaki hata punje.
Duh,yaani umehudhuria misiba 3 tu? Okay,Sijapata nafasi ya kuhudhuria misiba mingi nahisi ni 3 tu
Yes mkuu hii ipo hasa mwana mtaa umezaliwa hapo cha moto utakiona ukutane na wanaojua utaskia kwa Fulani hawajaja,Kijijini kwa maana nje ya Dar? Ila mikoani mjini hayo mambo yapo. Kanda ya ziwa huko kila mtaa wanaita nzengo kila msiba kuna daftari la mahudhurio na michango(jambo zuri) ila usipokula na wenyewe hawali kwenye msiba wako.
Nafikiri jambo la kulazimisha kula ni jambo la hovyo. Muhimu ni mahudhurio au michango ili kufarijiana.Kwanza kwa mfiwa ukimuona mtu anafakamia misosi unaona kama amefurahia msiba.
wa stendiBeba watu wa stand ,haibaki hata punje.
Sawa tu, uzuri wakisusa wasiposusa sitofufuka..Ishu inakuja wewe unakua ushakufa adhabu ya kususiwa chakula wanapewa ndugu zako
Nani alimwambia apike? Kuzika na kusepa, hakuna kula msibani.Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula.
Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu akatoka jikoni, walipoulizwa wapishi mbona hampakui kugawa kwa waombolezaji wakajibu yeye akija kwenye misiba yetu akimaliza kupika anakaa pembeni hali sisi tunawezaje kula kwake?
Baada ya jibu hilo waa ndugu wakajitokeza kupakua na kuanza kugawa sahani ila kila aliyepewa alikataa chakula hicho hadi sisi tukaona isiwe kesi nasi pia hatukukigusa ila kwa kuwa tulikua na njaa tukatoka kwenda kula mgahawani.
Kile chakula kilibaki kama kilivyo watu wakazika tukatawanyika kulekule makaburini hatukurudi nyumbani tukaondoka zetu.
SawaSawa tu, uzuri wakisusa wasiposusa sitofufuka..
Safi, napenda watu wanaoona a bigger picture kwenye mambo 🤣Wamatumbi hua wanashindana kwenye vitu vya kipuuzi sana,
Kitendo cha nyie wote kutokula msibani kina maanisha kua,kumbe shughuli za misiba zinawezekana kufanyika bila mfiwa kuingia gharama za kuwalisha waombolezaji.
Waafrica tunachekesha sana! Watu wapo msibani lakini macho kodo kuangalia nani anakula nani hali🚮Yaani,mtu usipomsalimia anakuchukia,usipoenda msibani kwake nae hatofika kwako,
Kwa hivyo elfu kumi ndio inaponya?. Kifo ni kifo by SamiahMbwembwe za mwafrika,can you imagine mtu kafa kwa kukisa sh 10,000 ya vipimo ila akifa ananunuliwa ng'ombe Mmoja kwa ajili ya kuwalisha waombolezaji.
Nimekuwa nikipinga sana utaratibu wa watu kula msibani hasa wenyeji,chakula kipikwe kwa wale to wametoka mbali ila wakaazi wakale kwao.
Hapo naona ndizi mbivu, chumvi, na kijiko bado pilipili tu menu ikamilike.Kiongozi buhigwe sehemu gani??
Weka maelekezo yote muhimu nipo tayari kubeba lawama za mhusika
Kifupi nipo tayari kwa kazi.....
Watu weusi hukomaa na mambo ya kijinga jinga sana. Na huyo mhusika hazimo kichwani. Wewe hua huli kwa wenzako halafu unakuja kupika kwako😀😀😀😀. Bwege kabisaTulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula.
Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu akatoka jikoni, walipoulizwa wapishi mbona hampakui kugawa kwa waombolezaji wakajibu yeye akija kwenye misiba yetu akimaliza kupika anakaa pembeni hali sisi tunawezaje kula kwake?
Baada ya jibu hilo waa ndugu wakajitokeza kupakua na kuanza kugawa sahani ila kila aliyepewa alikataa chakula hicho hadi sisi tukaona isiwe kesi nasi pia hatukukigusa ila kwa kuwa tulikua na njaa tukatoka kwenda kula mgahawani.
Kile chakula kilibaki kama kilivyo watu wakazika tukatawanyika kulekule makaburini hatukurudi nyumbani tukaondoka zetu.
Hakuna namna,tuishie hivyo.Waafrica tunachekesha sana! Watu wapo msibani lakini macho kodo kuangalia nani anakula nani hali🚮
Kuna shido?Duh,yaani umehudhuria misiba 3 tu? Okay,
Ila sio kichwaniMa hao ndio sisi. Tutabadirika taratibu kadri muda unavyoenda na life style inavyobadirika. Baada ya miaka 30-50 tutabadirika zaidi
Waafrika usipozikwa na watu wengi wanaona kama sio mazishi😁Watajua wenyewe wakisusa
Mi kwanza natamani msiba unaonihusu sana uwe na watu wachache family friends tu sipendi ma drama
Et hao waliosusa huenda walikua hawana vitendea kaziHapo naona ndizi mbivu, chumvi, na kijiko bado pilipili tu menu ikamilike.
Sio bara la giza ni udumavu tu wa akili ndilo tatizo kubwa.Waafrika usipozikwa na watu wengi wanaona kama sio mazishi😁
Damn bara la giza.