MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Uwe wa moto na supu na maharage mchemsho.Tena tamu haswa ukutane na dona na dagaa chukuchuku.
Utajilamba.
Uwe wa moto na supu na maharage mchemsho.Tena tamu haswa ukutane na dona na dagaa chukuchuku.
Utajilamba.
Wanasonga wanaume,.maana wengine hawapendi wali.Ugali msibani anasonga nani?
Ma hao ndio sisi. Tutabadirika taratibu kadri muda unavyoenda na life style inavyobadirika. Baada ya miaka 30-50 tutabadirika zaidiWaafrica tunachekesha sana! Watu wapo msibani lakini macho kodo kuangalia nani anakula nani hali🚮
Hili nalo la kulitazamaWamatumbi hua wanashindana kwenye vitu vya kipuuzi sana,
Kitendo cha nyie wote kutokula msibani kina maanisha kua,kumbe shughuli za misiba inawezekana kufanyika bila mfiwa kuingia gharama za kuwalisha waombolezaji.
Wala chakula cha mwanaume mwenzio?
Kuna sehemu nilienda,yaani msibani hapapikwi,Bali nyie mnapenda msibani mnabeba vyakula kuwapelekea wafiwa.,,mnapeleka vyakula Hadi siku ya sana.Wamatumbi hua wanashindana kwenye vitu vya kipuuzi sana,
Kitendo cha nyie wote kutokula msibani kina maanisha kua,kumbe shughuli za misiba inawezekana kufanyika bila mfiwa kuingia gharama za kuwalisha waombolezaji.
Hata mihogo yao nakula.Wala chakula cha mwanaume mwenzio?
Eti ndio wanamkomesha mwenye msiba,pengine mfiwa hua ana maradhi yanayo mfanya asile kila chakula huko kwenye misiba,wao hata hawataki kujua hilo,Kwanini na nyie hamkula??
HaaaaaaaaaaaaahHata mihogo yao nakula.
Yaani,mtu usipomsalimia anakuchukia,usipoenda msibani kwake nae hatofika kwako,Eti ndio wanamkomesha mwenye msiba,pengine mfiwa hua ana maradhi yanayo mfanya asile kila chakula huko kwenye misiba,wao hata hawataki kujua hilo,
wamatumbi hata asiposalimiwa na mpita njia anamind! Hizi mindset za ujinga ujinga sijui zitaisha lini tu! Ila haya yote yanasababishwa na umasikini tu,masikini hua wana nongwa sana.
Kiongozi buhigwe sehemu gani??Tulikuwa kwenye msiba mmoja huku Buhigwe Kigoma, tulikuja kumsindikiza jamaa yetu aliyefiwa na dada yake, kufika msibani watu walikuwa wengi tu kama kawaida ya msiba huku watu wakiendelea kumsadia mfiwa shughuli za pale kama kuandaa chakula.
Cha kushangaza baada ya kumaliza kupka kila mtu akatoka jikoni, walipoulizwa wapishi mbona hampakui kugawa kwa waombolezaji wakajibu yeye akija kwenye misiba yetu akimaliza kupika anakaa pembeni hali sisi tunawezaje kula kwake?
Baada ya jibu hilo waa ndugu wakajitokeza kupakua na kuanza kugawa sahani ila kila aliyepewa alikataa chakula hicho hadi sisi tukaona isiwe kesi nasi pia hatukukigusa ila kwa kuwa tulikua na njaa tukatoka kwenda kula mgahawani.
Kile chakula kilibaki kama kilivyo watu wakazika tukatawanyika kulekule makaburini hatukurudi nyumbani tukaondoka zetu.
Mbona inaonesha umeniquote mimi cha ajabu umemquote ephen_Ma hao ndio sisi. Tutabadirika taratibu kadri muda unavyoenda na life style inavyobadirika. Baada ya miaka 30-50 tutabadirika zaidi
Et eeh Unakua na maana gani ya kwenda msibani sasa kama unajua hutokulaMnasusa kula who cares?
Labda sio mimi mkisusa safii tu
Mie sio msibani tu sijui mara ya mwisho kula kwa mtu baki ni mwaka gani
Muhimu marehemu kazikwa !
Nimeipenda hii.Wamatumbi hua wanashindana kwenye vitu vya kipuuzi sana,
Kitendo cha nyie wote kutokula msibani kina maanisha kua,kumbe shughuli za misiba inawezekana kufanyika bila mfiwa kuingia gharama za kuwalisha waombolezaji.