Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

Wamatumbi hua wanashindana kwenye vitu vya kipuuzi sana,

Kitendo cha nyie wote kutokula msibani kina maanisha kua,kumbe shughuli za misiba inawezekana kufanyika bila mfiwa kuingia gharama za kuwalisha waombolezaji.
Kuna sehemu nilienda,yaani msibani hapapikwi,Bali nyie mnapenda msibani mnabeba vyakula kuwapelekea wafiwa.,,mnapeleka vyakula Hadi siku ya sana.
 
Kwanini na nyie hamkula??
Eti ndio wanamkomesha mwenye msiba,pengine mfiwa hua ana maradhi yanayo mfanya asile kila chakula huko kwenye misiba,wao hata hawataki kujua hilo,

wamatumbi hata asiposalimiwa na mpita njia anamind! Hizi mindset za ujinga ujinga sijui zitaisha lini tu! Ila haya yote yanasababishwa na umasikini tu,masikini hua wana nongwa sana.
 
Yaani,mtu usipomsalimia anakuchukia,usipoenda msibani kwake nae hatofika kwako,
 
Kiongozi buhigwe sehemu gani??

Weka maelekezo yote muhimu nipo tayari kubeba lawama za mhusika

Kifupi nipo tayari kwa kazi.....
 

Attachments

  • FB_IMG_1743488355417.jpg
    23.1 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…