Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

Yes mkuu hii ipo hasa mwana mtaa umezaliwa hapo cha moto utakiona ukutane na wanaojua utaskia kwa Fulani hawajaja,
 
Nani alimwambia apike? Kuzika na kusepa, hakuna kula msibani.
 
Kwa hivyo elfu kumi ndio inaponya?. Kifo ni kifo by Samiah
 
Kiongozi buhigwe sehemu gani??

Weka maelekezo yote muhimu nipo tayari kubeba lawama za mhusika

Kifupi nipo tayari kwa kazi.....
Hapo naona ndizi mbivu, chumvi, na kijiko bado pilipili tu menu ikamilike.
 
Watu weusi hukomaa na mambo ya kijinga jinga sana. Na huyo mhusika hazimo kichwani. Wewe hua huli kwa wenzako halafu unakuja kupika kwako😀😀😀😀. Bwege kabisa
 
Ma hao ndio sisi. Tutabadirika taratibu kadri muda unavyoenda na life style inavyobadirika. Baada ya miaka 30-50 tutabadirika zaidi
Ila sio kichwani
 
Watajua wenyewe wakisusa
Mi kwanza natamani msiba unaonihusu sana uwe na watu wachache family friends tu sipendi ma drama
Waafrika usipozikwa na watu wengi wanaona kama sio mazishi😁
Damn bara la giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…