Asusiwa chakula msibani kisa huwa hali kwenye misiba ya wengine

Msiba bila bia na nyama hata mimi ningesusa , msiba wa mawaliwali unapooza kinouma ni ngumu watu kususa ukiweka pombe
hahaha ! Bwa shekhe nasikia huko ukifiwa, unalia huku unaulizia bia, mali za marehemu na n.k..mfano, chozi la kwanza unaulizia bia, chozi la pili unaulizia rambirambi kama zimehifadhiwa sehemu salama, chozi la tatu unaulizia nyaraka za marehemu.
 
Kwanini hujamstiri ndugu yenu ilikuwa Haina haja ya kutangaza hapa sema ndio tabu yakutoa taarifa kwa marafiki wakusindikize
 
hahaha ! Bwa shekhe nasikia huko ukifiwa, unalia huku unaulizia bia, mali za marehemu na n.k..mfano, chozi la kwanza unaulizia bia, chozi la pili unaulizia rambirambi kama zimehifadhiwa sehemu salama, chozi la tatu unaulizia nyaraka za marehemu.
Wachaga upumbavu wa kuweka hisia kwenye misiba tulisha vuka
 
Vituko vya waswahili wa Buhigwe.
Kisasi kimelipwa.
Wakitoka hapo wanaenda kujipongeza
 
Aisee
 
Upuuzi ni kwamba utakuta hata hawakusema mapema hawatula katika huo msiba ili kusiwepo na michango na kupoteza muda kupika watu wasio wa familia.
Usikute mchizi aliassume tu ni kitu cha kawaida tu mimi kutokula msibani na hata lilipomkuta yeye akaassume tena wapo wataokula na wapo ambao hawatakula. Kumbe ngozi nyeusi ina jambo lake.

Wallahi hapo hawajamkomoa huyo jamaa, wamemkosea Mungu wanayemuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…