Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Isipokuwa raia ndiyo wanaruhusiwa kutumia nguvu eeh?
 
unalosema ndio asili ya maandamano yanayofana.Kila mtu kuna kitu kinamgusa au tuseme wengi wameona.
Maandamano ya kesho ni Chadema peke yao tena uongozi wa juu wenye tamaa na uongozi.
Waliobaki mpaka familia ya Ali Kibao hawafahamu kinachoendelea.
 
Mbona jina Mohamed hamliandiki?

Anaitwa Ali Mohamed, kibao ni nickname tu.
 
Ok, ukitoa siasa wewe ni mtu wa? Incase of uchumibase
Mimi nadeal na mambo yangu binafsi mkuu sina mambo ya kufatilia mambo ya uchumi sijui dola imeshuka sijui imepanda nk mimi sipendi na sifatilii siasa, nadeal tu na mambo yangu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…