Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Mmeanza chokochoko za Jerusalem
 
Ghadaf alikua ni Pimbi tu.
 
Wewe au wao acheni mihemko
 
Mnafiki Qatar kajileta kwenye 18 tutambamiza hataamini.
Wewe na nani?

Hivi sisi watanzania tutaacha lini ushabiki usio na tija kama huu?

Labda tu niwaambie;

- wewe mkristo unaetoka mishipa kuishupalia Israel unapoteza muda wako. It's time to think about yourself and your own generation.
Israel hawakutambui.

- wewe muislamu unaeishupalia Saudi Arabia unapoteza nguvu zako bure. Jamaa wanaishi maisha yao, ni vyema na wewe ukafanya hivyo!

Njia pekee ya kwenda peponi ni kutenda mema, wajali yatima, wajane na wengine wenye shida.

Sio kuishabikia Israel au Saudi Arabia!
 
Nilidhani ni kauli anaitoa kaka yake AMERIKA...!

kumbe ni Povu kutoka kwa KAPUKU mmoja....![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Chokochoko zozote dhidi ya Saudia kutaleta balaa duniani
 
Kafiri wewe, mbona nyie mnaabudu sanamu na tumenyamaza tu
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu na pia lazima ihamasishe upendo, na amani. Ikiwa kinyume na hapo ni kikundi cha kigaidi. Huwezi kumuita mwenzako kafiri kwa sbb ya dini. Hakuna dini ya Mungu na Mungu hana dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…