Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Wasaudia weekend wanavuka kwenda BAHRAIN wanakodi Floor nzima ya HOTELI wanapiga MITI mabinti MAKAHABA na KUNYWA POMBE watakavyo, weekend ikiisha haoooo SAUDIA wakavuu & Wepesi. kwa Unafiki WASAUDIA noma.
 
Utakuta jitu lipo IKWIRIRI huko linapiga miayo tu halafu linakandia taifa teule lenye miji mitakatifu miwili MECCA na MADINA . Takbiiiir
maka % madina Ukisema MACCA na MADINA unawapaisha wazungu
 
Saudia mshirika wa marekani na wanamakubaliano ya kupewa ulinzi kama marekani inavyoilinda israeli ni the same kwa saudia. Saudia ana sacrifice mambo mengi kwa wamagharibi kupata ile amani na stability otherwise angekua kama nchi nyengine za middle east. Kuna mambo mengi sana yanaendelea ktk hii dunia
 
ww nani?
 
Israel pia nd'o ilijenga hospital ya rufaa bugango Mwanza
 
Si kweli!
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?

Hivi Irani kuna dini gani kule
 
Nijuavyo mimi hapo mwanzo taifa teule la Mungu lilikuwa Israel. Sasa baada ya Israel kumuasi Mungu aliliadhibu hilo taifa hata Kristo akaja kwaajili ya ukombozi wa kila mwanadam regardless wa taifa gani. Maana Israel walikuwa wateule na walipaswa kuwa kielelezo cha watu wote but they failed to mantain they special.
 
Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Secrete wasaudi Na Waarabu wengi ni WASHENZI tena sanaaa tu.
Makkah Na Madina ndio peke sehemu Takatifu kwa Waislam.Wafuasi wengi wa dini ya Kiislam wanachanganya kati ya Uarabu Na Uislamu.kuna Waarabu wengi ambao sio Waislam Na Waislam wengi ambo sio Waarabu.
Kwa sababu kuraan tukufu imeandikwa kwa Lugha ya Kiarabu Na Mtume (SWA) alikuwa muarabu:Waislamu wengi wanaona lazima tuwapende Waarabu.
Unawapenda Watu wanao kupendana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…