Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Wafalme wa saudia ni sawa na waungu watu mafisadi wa haribifu makatili nime mifano ya miradi iliyofadhiliwa na Saudia hapa Tanzania
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Mmarekani yupo pale long time. TAifa la kikafiri hilo nowdays
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
UNAKUSUDIA NINI ULIPOSEMA TAIFA TEULE??
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
hahaha! US anamkubali saudi wakati ufalme huu umewekwa na Wao baada ya 'kumchinja' ikulu ya saudi faysal. Hujui kua fahad alikua trained US.? Hawa saudi wanapata msaada wa kijeshi kutoka US. Ufalme wa saudi ni kinyago kilichochongwa na US hakiwezi mtisha. Ogopa sana haya mataifa yaitwayo matakatifu, ndio yaongozwayo na wicked leaders na wanasurvive kwa cover ya utakatifu. Na bahati mbaya sisi 'waafrika' sababu ya 'ujinga' wa 'ushabiki wa dini' tunawatukuza.
 
Myaonayo hayo mjue Mwana wa Adam yu karibu kuja. Take from me Dunia ipembezoni sana tujiandaeni tu kiama ki karibu.
Kiama kwa ajiri ya soudia tuu ,vipi Somalia, Congo,Rwanda ,Burundi, CAR.Kosovo, zile vita zote hawakuwa binadamu ambao wameumbwa na Mungu
 
hahaha! US anamkubali saudi wakati ufalme huu umewekwa na Wao baada ya 'kumchinja' ikulu ya saudi faysal. Hujui kua fahad alikua trained US.? Hawa saudi wanapata msaada wa kijeshi kutoka US. Ufalme wa saudi ni kinyago kilichochongwa na US hakiwezi mtisha. Ogopa sana haya mataifa yaitwayo matakatifu, ndio yaongozwayo na wicked leaders na wanasurvive kwa cover ya utakatifu. Na bahati mbaya sisi 'waafrika' sababu ya 'ujinga' wa 'ushabiki wa dini' tunawatukuza.
Dini ndio kila kitu kwetu wee usie kuwa na dini kaa kimya
 
Back
Top Bottom