Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
EheheheheBiblia inasema tu fulani alikuwa mke wa fulani au mume wa fulani taratibu za ndoa hazipo, pia hata taratibu za kipa imara sijui komunio pia hakuna hii kitu, only Jews follow the Bible by 100%
Bible is a Jewish bookBiblia inasema tu fulani alikuwa mke wa fulani au mume wa fulani taratibu za ndoa hazipo, pia hata taratibu za kipa imara sijui komunio pia hakuna hii kitu, only Jews follow the Bible by 100%
Muelewe mleta mada boss. Ameuliza utaratibu unaotumika kufunga harusi sio uwepo wa harusi.Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au😅😅😅
nikuulize swali.....Dini iliyokuwepo kipindi cha Yesu ni ipiMasare,yesu alihudhuria sherehe ya harusi,Kama ulivyonukuu,wapi Kuna andiko kwamba inatakiwa watu wafunge ndoa kwa kiongozi wa dini?
Jibu hapo
Harusi ni sherehe.Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au😅😅😅
Naomba utume laki yangu2nyakati 24:2-4
Ndugu nimeusoma huo mstari hakuna kiongozi wa dini amefungisha ndoa hapo.2nyakati 24:2-4