Niraha Sana kuwasikiliza watu wanatafuta tafuta sababu ya kuhalalisha kitu badala ya kuleta kifungu ambacho kitamaliza hili jambo. Mpaka Sasa hakuna liyelet mwongozo wa ulazima wa ndoa kufungwaa kanisani au ulazima wa kanisa kuendesha mazishi. Wakristo wengi hawamiliki akili zao na wanafuata mambo ambayo ukiwauliza hawayajui Ila kwakuwa wameambiwa na kiongozi wa dini basi wanafuata tu, na ukija kuwauliza hawakupi majibu sahihi ya kibiblia. It's time to wake up guys.
Hata Mimi ni muumini wa kanisa ila Kuna mambo ambayo siyaelewi na Kila siku Huwa nayauliza Ila sipati majibu sahihi so hata mtu akiniuliza swali siwezi kumkomalia tu kwamba aamini kitu ambacho sikijui vizuri. Nashukuru Hili swala la ndoa dini yangu imelisolve kwa kukubali ndoa za kimila pamoja na kiserikali maadam tu Kuna ushahidi wa ndoa kufungwa.