DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yesu hakuwa kiongozi wa Dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba utume laki yangu
Kabisa.Andiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu
Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?
Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Yesu alibatizwa na Yohana ndio maana kwa mkristo kubatizwa ni lazima maaana yangu ni kwamba jambo lenye umuhimu Yesu kama yupo katika ilo tukio lazima alifanye mfano aliwahi kufukuza watu wakiuza vitu katika hekalu maana yake ni kwamba ilo jambo halifai na kungekuwa na ulazima wa kila ndoa lazima afungishe padri au sheikh basi angenza na yeye mwenyew Yesu lakini alienda katika harusi tukio muhimu alilofanya ni kugeuza maji kuwa pombe msome vizuri mtoza ushuru utamuelewaYesu hakuwa kiongozi wa Dini
Watu wanajitungia tungia mambo tu ili mradi wapate kuwa kuntrol watu ilo jambo ukiliangalia vizuri hakuna ulazima wowote wa kiongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa hata ww au mm au mtu yoyote uanaemuamini anatakiwa afungishe ndoaKabisa.
Hizi taratibu za ndoa ni scarm
Halafu ukishaona itakusaidia niniWakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Kipindi yesu anaenda kwenye harusi ya kana alikuwa bado hajabatizwaYesu alibatizwa na Yohana ndio maana kwa mkristo kubatizwa ni lazima maaana yangu ni kwamba jambo lenye umuhimu Yesu kama yupo katika ilo tukio lazima alifanye mfano aliwahi kufukuza watu wakiuza vitu katika hekalu maana yake ni kwamba ilo jambo halifai na kungekuwa na ulazima wa kila ndoa lazima afungishe padri au sheikh basi angenza na yeye mwenyew Yesu lakini alienda katika harusi tukio muhimu alilofanya ni kugeuza maji kuwa pombe msome vizuri mtoza ushuru utamuelewa
Unajua watu wengi wanachanganya sana.Yesu alibatizwa na Yohana ndio maana kwa mkristo kubatizwa ni lazima maaana yangu ni kwamba jambo lenye umuhimu Yesu kama yupo katika ilo tukio lazima alifanye mfano aliwahi kufukuza watu wakiuza vitu katika hekalu maana yake ni kwamba ilo jambo halifai na kungekuwa na ulazima wa kila ndoa lazima afungishe padri au sheikh basi angenza na yeye mwenyew Yesu lakini alienda katika harusi tukio muhimu alilofanya ni kugeuza maji kuwa pombe msome vizuri mtoza ushuru utamuelewa
Quran is a book written in the Arabic languageBible is a Jewish book
Penda kuelewa kama unataka kujifunza maana yangu ni kwamba jambo lolote muhimu ambalo Yesu alikiwepo katika tukio lazima alifundishe ukiona hajafundisha ujue halina umuhimu nyinyi wakrsto mumepata wapi habari za lazima padri au mchungaji kifungisha ndoa?Kipindi yesu anaenda kwenye harusi ya kana alikuwa bado hajabatizwa
Pengine tumuulize yule mgogo aliyesema yesu na mke wake sijui walitembelea wapi vile
Nimekuelewa ila cha pili mimi sio mkristoPenda kuelewa kama unataka kujifunza maana yangu ni kwamba jambo lolote muhimu ambalo Yesu alikiwepo katika tukio lazima alifundishe ukiona hajafundisha ujue halina umuhimu nyinyi wakrsto mumepata wapi habari za lazima padri au mchungaji kifungisha ndoa?
Hapana sio lazma ila mzazi ndo mwenye jukumu la kumpa mtoto wake mtu ukisoma hata kwenye biblia yao inasema "kwa maana mtu atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe" na ndio maana halisi ya kuozesha mwenye jukumu ni wazazi na sio sheikh wala padre au mchungaji au askofuMtazamo wako ni upi katika hali je ni lazima kiongozi wa dini kufungisha ndoa au mtu yoyote unaemuamini na kumkubali anatakiwa aweze kufungisha ndoa
I second you sir!Dini zina mambo mengi ya kijitungia nje ya vitabu vyao.
Ww IslamNimekuelewa ila cha pili mimi sio mkristo