Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

Katika ukristo lazima Padre au mchungaji.

Katika uislmu sio lazima sheikh au padri kama kuna mashahidi wawili baba au kaka au babu muozeshaji na muoaji na muolewaji ndoa inakamilika kwa hotuba
 
Kabisa.
Hizi taratibu za ndoa ni scarm
 
Yesu hakuwa kiongozi wa Dini
Yesu alibatizwa na Yohana ndio maana kwa mkristo kubatizwa ni lazima maaana yangu ni kwamba jambo lenye umuhimu Yesu kama yupo katika ilo tukio lazima alifanye mfano aliwahi kufukuza watu wakiuza vitu katika hekalu maana yake ni kwamba ilo jambo halifai na kungekuwa na ulazima wa kila ndoa lazima afungishe padri au sheikh basi angenza na yeye mwenyew Yesu lakini alienda katika harusi tukio muhimu alilofanya ni kugeuza maji kuwa pombe msome vizuri mtoza ushuru utamuelewa
 
Halafu ukishaona itakusaidia nini
 
Kipindi yesu anaenda kwenye harusi ya kana alikuwa bado hajabatizwa
 
Unajua watu wengi wanachanganya sana.

Yesu hakuwah kuwa kiongozi wa kanisa lolote kpind anahubiri viongozi walikuwpo waalimu, wafarisayo, Waandishi na wazeee na makuhani, Kama watu wangeruhusu mtu kufungisha ndoa bhasi kuhani angefungisha.

Yesu ameanza kukubalika kama kiongozi wa kidini miaka 100 au mia 200 baada ya yeye kuondoka ulimwenguni so alikuwa ni just mwalimu wa Wa kawaida kwenye dini anayefundisha dini
Na kumbuka tabaka ninalokuambia la uongozi lilitoka katika kabila maalum kwa wayahudi sio kila myahudi aliweza kuwa kiongozi
 
Kipindi yesu anaenda kwenye harusi ya kana alikuwa bado hajabatizwa
Penda kuelewa kama unataka kujifunza maana yangu ni kwamba jambo lolote muhimu ambalo Yesu alikiwepo katika tukio lazima alifundishe ukiona hajafundisha ujue halina umuhimu nyinyi wakrsto mumepata wapi habari za lazima padri au mchungaji kifungisha ndoa?
 
Mtazamo wako ni upi katika hali je ni lazima kiongozi wa dini kufungisha ndoa au mtu yoyote unaemuamini na kumkubali anatakiwa aweze kufungisha ndoa
 
Nimekuelewa ila cha pili mimi sio mkristo
 
Mtazamo wako ni upi katika hali je ni lazima kiongozi wa dini kufungisha ndoa au mtu yoyote unaemuamini na kumkubali anatakiwa aweze kufungisha ndoa
Hapana sio lazma ila mzazi ndo mwenye jukumu la kumpa mtoto wake mtu ukisoma hata kwenye biblia yao inasema "kwa maana mtu atawaacha wazazi wake na ataambatana na mkewe" na ndio maana halisi ya kuozesha mwenye jukumu ni wazazi na sio sheikh wala padre au mchungaji au askofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…