Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25


Wengi wenye imani za kishirikina sio timamu. Their whole thought process is illogical. Wanaamini tu kama nyumbu. Story zote za ushirikina ni hearsay na kuaminishana upuuzi tu. Huyo bibi wanaweza hata kumdhuru maskini kwa imani zao za kipuuuzi.

Haidhuru wewe kuanzisha uzi mwingine labda utapata majibu tofauti ila I can assure you utapewa excuses lukuki badala ya kuokoa nguvu na muda kwa kukuroga tu mwenyewe uje kutoa ushuhuda.
 
neno "Mchawi" lilivotumika kwenye biblia sio huu uchawi wa kiafrika tunaoujua na anaouzunvumzia mtoa mada. Kama kupaa na ungo au kuchanja watu chale, kudhuru watu kimaajabu ajabu na miujiza au kuingua ndani bila kufunguliwa mlango nk.

Neno hilo "mchawi" kwa dhana yetu ya kiafrica ni lipo kwenye biblia zetu kimakosa.
 
Sasa alogwe ili iweje hapa JF?
Ye atukane watu huko mitaani , vijijini.
Kazini
Ataleta mrejesho km ataweza kuandika
Ta det lugnt vänen.
Nishawahi kuongea hivi kwa mganga maarufu huko Sumbawanga.
Nilimfata kwa heahima tu nikamsalimia kisha nikamwambia ajikite kutibu kwa herbs aache kudanganya watu kwa tunguri.
Hakunijibu akaingia ndani,niliokua nao wote wakakimbia ila nikabaki pale pale nje kwake kumsubiri.
Akatoka akaingia akatoka akaingia nikamwambia nilijua wanakuogopa bure tu huwezi kunifanya chochote nikasepa.
Wakasema hapakuchi ila palikucha na nikaridu Dar safe and sound
 
Sababu ili aweze kulogwa watahitaji vina saba kutoka kwake..mfano jina lake ndo limebeba roho yake, e.t.c hapo akitaja jina tu la kwake na mama yake..ndo mwisho wake..asicheze na hizo imani ambazo hata katika vitabu vitakatifu zimeandikwa
Hamna hayo mambo mkuu.

Jina ni maandishi tu ya herufi kadhaa za kusomeka basi ili kuweza kututofautisha na kutofautisha mtu na mtu, wala halina chochote cha maana, jina ni herufi kadhaa za kutupatia identity tu basi HAKUNA ZAIDI YA HAPO KWENYE IZO HERUFI ZA MAJINA, WALA JINA HALIBEBI ROHO WALA CHOCHOTE ZAIDI YA IDENTITY TU.

pia Biblia haizungumzii huu uchawi tunaoujua sisi huku.
 
Huyu hafanywi kuwa chizi huwa anarogwa kule chini kwenye papuchi yake kuwe kunatoka damu ya hedhi isiyokatika halafu atatafuta waganga wa kumtibu hatoweza kuwapata matokeo yake anaweza kufa asipo rudi hapa tena jukwaani na kueleza yaliyo mkuta.
 
Tar det lugnt själv,
Sasa wewe unaomba watu wakuloge utawalipa ndo nini?
Bila kosa lolote,
Utalogwa kweli ushangae binadamu si watu wazuri.
Kuna makabila kila namna humu.
 

KUMVUJISHA DAMU MFULULIZO MWANAMKE​


WANAVYOFANYA UCHAWI HUU
~WANACHUKUA KOPO JIPYA KABISA
LA PLASTIKI AMBALO HALIJAWAHI
KUTUMIWA NA WANALIANDIKA MANENO
HAYA
---------------------------------------------------------------[Nayaficha

kwa sababu ni maneno mazito ya kufru na kuwaapia
mabwana zao wa kishetani kuwatukuza kuwasifu na
kuwaabudia kuwa wao ndyo wenye nguvu kuliko
muumba wala chochote, na mwisho wanamalizia
kuandika jina la binti anayetakiwa kuvujishwa damu na
jina la mamake au km hawamjui mamake hutumika
HAWAA mama wa binadamu wote na wakimaliza kopo
hilo wanalifukiza haltiti,nywele7 za sehemu za siri za
punda mweusi na damu ya hedhi wanachanganya
pamoja na kulifukiza kopo hilo.
Baada ya kumaliza hapo hilo kopo linatobolewa
kwenye kitako na sindanO au msumari mdogo sana kiasi
cha kupata kitobo tuu
Baada ya hapo wanalitundika kopo juu ya mti wowote
na wanalitia maji
ile maji yakidondoka ndo ndo ndo ndo ndo kupitia
kwenye kile kitobo huyu mwanamke ataanza kutokwa na
damu na damu hiyo haikati
Kazi anayoifanya mchawi hapa ni kuongeza maji kila
yakiisha huku mwanamke anaendelea kuteseka kwa
kuvuja damu.......
 
Uko sahihi mkuu.
Chakusikitisha sidhani kama wasioamini wanafika 20 jf nzima.
 
Kuna watu hatuamini haya mambo ya uchawi ndugu bora hiyo pesa utuweze tufanye biashara angalau kwa uchache.
Wanasilisha.
 
Uko sahihi mkuu.
Chakusikitisha sidhani kama wasioamini wanafika 20 jf nzima.

Sad indeed. Mwaka jana kuna survey ilisema TZ inaongoza kwa imani za kishirikina Africa meaning watu wanaoamini ushirikina upo ila sababu wabongo wengi wana comprehension disorder hawawezi kung'amua mambo wengi walielewa "wabongo wengi ni washirikina." These are two different meanings. Watu ambao hawawezi kung'amua sentence rahisi tu hivi huwezi tegemea wawe rational. Wao wanaamini tu kama nyumbu kila wanachoambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…