Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Menorrhagia sio uchawi wala ushirikina au kulogwa

Upande wa hedhi Haya mambo yapo mengi tu kwa wadada ila sio uchawi wala kulogwa. Ni mambo yanachangiwa na vitu kama stress, hormonr imbalance, mambo ya thyroid hormone nk.
uchawi pia upo uchawi wa kumtoa mwanamke damu ya hedhi mfululizo kwa muda wa siku 7 anatokwa na damu kama bomba la maji yanavyo toa maji. Na muda wake ni siku 7 atakufa. Je hiyo Menorrhagia inatoka hivyo?na Je Mwanamke akiwa na hiyo Menorrhagia baada ya siku 7anakufa?
 
Mimi nataka connection.. A. K. A fiber,, jina lako na mama...

Ukiona mganga ana kuomba jina la mama ni hatari sana...


Ila ukitumia jina la baba huwezi kumuua mtu kwa sababu asilimia 65 %, baba wanakua sio wenyewe... Ni wa kubambikwa..
bull to da shit
 
Yeye si ametaka kurogwa? Au mada yake inasemaje,

Una dare kitu halafu unalinda privacy basi uzi wake utakua hauna maana tena
Hajasema anataka kujulikana id yake amesema anataka kulogwa. Kama wewe ni mchawi mloge boss.
 
Mboo moja inakutosha tu wewe.
 
Ingekuwa hiyo nguvu ya uchawi upo na uhalisia namna ivyo mbona tungeisha poteza dada zetu wengi sana kwa kutembea na waume za watu lakini wengi wao wanadunda tu mitaani.

Upotezaji wa damu mfululizo kama bomba la maji hauhitaji hata nusu ya siku 7 ili ufe.

Menorrhagia kwa yenyewe sio fatal, ni shida inatatulika na na kutibika vizuri tuu. Lakini mdada anawezakufa kwa sinario kama hii, mdada akishapata shida hiyo ya hedhi mfululizo bila kikomo ataamini moja kwa moja kwamba kalogwa au kafanyiwa uchawi na mambo ya kishirikina (kwa imani zenu za uchawi mnazo waaminisha humu na kwenye jamii yetu). matokeo yake badala ya kwenda mahali husika (kwenye kituo cha afya) atakimbilia kwa waganga wa kienyeji, huko hatapata utatuzi wa shida yake ya uvujaji wa damu, matokeo yake ataendelea kuvuja damu mpaka anakufa, au kupata shida zingine kama upungufu wa damu nk.

Labda akutane na mganga mjanja mjanja au mganga tapeli, ajue shida yake ni nini kisha ampatie dawa ya kukata izo damu zikatike na kupona kabisa.

Dawa za kustop uvujaji damu ya hedhi zipo na zinauzwa wazi kabisa, wala hazihitaji uchawi, uganga wa kienyeji au ushirikina ili kuzijua au kuzipata.
 
Wewe usirogwe na mchawi ukawa unatokwa na damu ya hedhi. Utakwenda hospitali kutibiwa hutopona utarudi hapa hapa kushitakia maradhi yako ukifanya mchezo utakufa na tutakupa jina jipya aka RIP. Usicheze na wachawi ogopa sasa hawa viumbe wanaoitwa Wachawi ni viumbe wabaya sana katika hii dunia yetu. Achana na hiyo Menorrhagia inayoweza kutibiwa hospitali na hata dawa za asili.Lakini ukirogwa na uchawi wa kutokwa na damu ya hedhi huwezi kupona kwa dawa za Kizungu na ukifanya mchezo utakufa.
 
Sasa wewe umenipa nyota gani ? Una kitu gani special ?

Shame on you
Acha kubabaikia watu,acha kujilengesha,be creative usiwe mdandiaji,jenga brand yako kwa kutafuta ID yako na sio kutaka shortcut,kifupi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,hata kwenye maisha unaonekana unajipendekeza sana kwa watu coz hujiamini.
 
Kumbe wewe ni jike zuri hivo na shundu lipo ila mwandiko wa dume
 
mkuu mimi ni ME.

hata ningekuwa mdada, hao watu wenye uwezo huo wa kutoa damu namna hiyo, wanaoitwa wachawi hawapo, zaidi ya kutishana tishana tu.
 
Duh unajiamini kitu gani mkuu
 
Acha kubabaikia watu,acha kujilengesha,be creative usiwe mdandiaji,jenga brand yako kwa kutafuta ID yako na sio kutaka shortcut,kifupi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,hata kwenye maisha unaonekana unajipendekeza sana kwa watu coz hujiamini.
Sawa
 
Nimependa unavyo jiamini
Binafsi naamini uchawi upo ila siuamini

Na uchawi huumpata yule anayeamini hayo mambo ya kishirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…