zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Umejuaje kuhusu hii Pombe ? Unajua inapotengenezwa ?Na saa hiz atakua keshalewa ulaka naona anazid kuyumba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kuhusu hii Pombe ? Unajua inapotengenezwa ?Na saa hiz atakua keshalewa ulaka naona anazid kuyumba tu
Ni kweli.Wewe ni MTOTO
Jichekeshe tu Ila wewe ni MTOTO endelea kukua,Ni kweli.
Mpenzi wangu huwa ananiitaga baby🤣
Kwani unanichukuliaje mkuu?Umejuaje kuhusu hii Pombe ? Unajua inapotengenezwa ?
Nimekuuliza hio bia ya asili umeijulia wapi ?Kwani unanichukuliaje mkuu?
Wakishua?
Mzungu?
Au?
HERI MIMI SIJASEMA..Jinsi tu ulivyoandika uzi inaonesha wakulungwa washapita kitambo...
mtwaraNimekuuliza hio bia ya asili umeijulia wapi ?
Mikindani, Chitohori au Namahakata ?mtwara
NaliendeleMikindani, Chitohori au Namahakata ?
Okay sawa mkuu, ukifika Nandwani wape salamu zaoNaliendele
wakija nipigie video call tuwaone wote 😂Nilivyowatibua nahisi leo nitawaona usiku😂
muache asinzie makaburiniNa saa hiz atakua keshalewa ulaka naona anazid kuyumba tu
Hamna mchawi anayeweza kuniloha bila hizo info?
Sumbawanga nzima hakuna?
jirani... my love to you is deep like an oceanWe will jirani😂
Nothing will happen to me🤣
Ndiyo uchawi upo ndugu unataka usemeje?Walokole na Waislam wanaamini sana hayo mambo ya majini sijui uchawi kwamba upo una exist
Utasikia Nina kiti wangu, kila mtu ana jini wake.. ama pepo tokaaa
Hawa watu hawana tofauti na watu wanaoamini hizi dini za maboti, ni kuwasamehe tu.Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.
View attachment 2615624
Wasanii wa bongo muvi wanakutukana kupitia account yangu......wanasema kwanini unawafuata fuata, ishi maisha yako.Unakuta mtu na elimu yake anaenda kwa mganga aliyeishia darasa la 7 ili apewe dawa ya utajiri,wakati huyo mganga mwenyewe ni choka mbaya,anaishia tu Kukuagiza Jogoo kisha analifanya supu na kula na wanae huku wewe ukisubiri utajiri uje kimiujiza!
😀😀
Mkuu The Evil Genius usipotoshe watu humu JF, tunakujuwa wewe ni mchawi sana, yaani ukoo wenu wote ni wachawi, unabisha?Uchawi haupo mkuu.
Mimi nishatangaza wa kuniroga ajitokeze wamekosa.
Uchawi haupo.