Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Naona mpk sasa hakuna mtu anaeweza kuniroga nimetoa majina yangu naona wachawi wanaoyaogopa kuyachukua wachawi waganga wanaoenda kwakina mwamposa asilimia kubwa ni dalili ya matatizo ya akili mtu anaenda kuombewa apate mchumba au aolewe anaenda kuomba apate kazi hiyo akili au matope uchawi upo kwakuwa neno uchawi lipo tu lakini huo uchawi hauna nguvu yoyote mtakufa kwa uijinga bila ya kupiga kelele kama walivyokufa wafuasi wakibwetere 😁 😁 😁
 
Ukisha logwa hiyo 25 iTatokea wapi?? Wakati huo wewe kichaa tayari eeh
 
Nilitaka kushangaa mkuu utoe majina ya kweli kwa hawa vichaa😂.
Ila akili zake anazijua mwenyewe 🤣
Naona wachawi wanasonya tu hawataki kuroga watu zama hizi mm nilikutana na mchawi anaenda hospitali kuchoma sindano kisa anaumwa malaria nikajiuliza huyu si angejitibu kwa uchawi hapo unaposhangaaa kuwa kumbe uchawi silolote wala chochote kwanini wakiumwa wachawi wanaenda hospitali badala ya kujitibu kwa uchawi 😂 😂
 
Huyu mimi nilitaka kushughulika nae ila sasa kaoogaa kanabwabwaja tuu hapa alete majina tumkamue[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]kuna mavitu yanamsubiri huku maana hayajanyonya damu muda sasa.
Tabora Kuna fundi anaitwa maneno, anaogopewa mji mzima, amtumie radi.
 
Hiki ni kiburi kinaongea, uchawi upo ila hupaswi kuuogopa na kuingilia na kuwasumbua au kuwabugudhi, kama ww huamini usiingilie mambo yao, ni falme nyingine haziwezi kukudhuru kama hujawaingilia
 
Na hivi kaleta picha bado majina tu, Ila nahisi katania tu mleta Uzi [emoji28] bwana nilivyokuwa chuo Kuna mtu aliingia 18 zangu, nilichomwambia kwa baba Bagamoyo kwa mama unyanyembe, aliniomba msamaha kwa magoti.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu uelewa wako ni mdogo nishakwambia. Wewe mweupe tuu watu wenye mkwanja hawaandiki mada nyepesi kama yako.
Siwezi kujibizana na watu ambao thinking capacity yao iko chooni, narudia tena huwezi fanya lolote kwangu.
 
Siwezi kujibizana na watu ambao thinking capacity yao iko chooni, narudia tena huwezi fanya lolote kwangu.
Ambaye hawezi na hataki kujibizana hukaa kimya kimaandishi na kimatamshi.
Unavailable huwezi kujibizana but still unaandika upupu wako hapa.
Tulia watu wakuloge mkuu ili siku nyingine uwe na heshma na uwe na adabu
 
Back
Top Bottom