Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Inatenda my foot.
Mloge basi.
Acha kupanic, mimi nishasema na wadau wenye uelewa wa masuala ya mambo washaomba wagalatia kama ww muandike majina yenu hamuandiki mnabwabwaja tuu. Wekeni majina hapa mstaajabishwe.
 
Hello Africans.

Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.

Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.

Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).

Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.

Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.

Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.

Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.

Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"

Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.

Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.

UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.

Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.

Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂

Haya kazi kwenu.

NILOGENI

UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.

View attachment 2615624
Hii challenge ya kumtaka mtu aniloge niliitoa miaka mingi, nikatoa dau zuri tu, lakini mpaka leo hakuna aliyefanikiwa.
 
Acha kupanic, mimi nishasema na wadau wenye uelewa wa masuala ya mambo washaomba wagalatia kama ww muandike majina yenu hamuandiki mnabwabwaja tuu. Wekeni majina hapa mstaajabishwe.
Sasa mtu akiweka jina hata majambazi unaweza kumtumia.

Kwani uchawi wako hauwezi kupata jina la mtu kwa kuangaliamuandiko wake hapa?
 
Hello Africans.

Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.

Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.

Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).

Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.

Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.

Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.

Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.

Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"

Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.

Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.

UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.

Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.

Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂

Haya kazi kwenu.

NILOGENI

UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.

View attachment 2615624
Wanaotaka sijui majina wala nn hawaezi kukuloga kwani majina yako
utakayotoa yaweza kuwayanatumika na watu wengine. Kitu kimoja tu utakufa siku moja Mungu aliyopanga
 
Sasa mtu akiweka jina hata majambazi unaweza kumtumia.

Kwani uchawi wako hauwezi kupata jina la mtu kwa kuangaliamuandiko wake hapa?
Sijui kwanin hawataki kuchoka akili zao japo kidogo.
Kwanini washindwe kupata hizo info kiuchani ikiwa inawezekana kufanya jogoo awike tumboni kwa muizi wa kuku au kumchukua mtu msukule.

Hawa wote hakuna aliyewahi kuona mauzauza wanasikia tu na pia walioona "mauzauza" sio mauzauza bali ni vitu vinavyoelezeka kawaida ila kwa vile washaathirika na hizo imani ni mauza uza,ni uchawi.
 
Njoo kanda ya ziwa hasa kagera, tembea na mtoto wa mtu afu akupende, aisee haisimami kokote kule ila kwake tu.
 
Wanaotaka sijui majina wala nn hawaezi kukuloga kwani majina yako
utakayotoa yaweza kuwayanatumika na watu wengine. Kitu kimoja tu utakufa siku moja Mungu aliyopanga
Hata huyo Mungu ndiyo stories zile zile kama za uchawi.

Hayupo, na hakuna mtu anayeweza kuthibitisha yupo.
 
Sasa mtu akiweka jina hata majambazi unaweza kumtumia.

Kwani uchawi wako hauwezi kupata jina la mtu kwa kuangaliamuandiko wake hapa?
Halafu kingine unaweza ukawapa hilo jina say unaitwa Amir Juma Mbonde.
Nina imani Tz hii ina Amir Juma Mbonde zaidi ya mia.
Sasa kama hawawezi kupata hayo majina kiuchawi je wataweza kutofautisha hao kina Amir Juma Mbonde mia?
 
Back
Top Bottom