Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Naona mpk sasa hakuna mtu anaeweza kuniroga nimetoa majina yangu naona wachawi wanaoyaogopa kuyachukua wachawi waganga wanaoenda kwakina mwamposa asilimia kubwa ni dalili ya matatizo ya akili mtu anaenda kuombewa apate mchumba au aolewe anaenda kuomba apate kazi hiyo akili au matope uchawi upo kwakuwa neno uchawi lipo tu lakini huo uchawi hauna nguvu yoyote mtakufa kwa uijinga bila ya kupiga kelele kama walivyokufa wafuasi wakibwetere 😁 😁 😁