Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
- Thread starter
- #441
zaman nilikua navaa nin kwan mkuu?Mkuu now days unavaa sketi?????? Au ndio usharogwa tayari???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zaman nilikua navaa nin kwan mkuu?Mkuu now days unavaa sketi?????? Au ndio usharogwa tayari???
Nimemkumbuka Mzee Baba alishangaa vi eite lake nyuu model jipyaaaaa linatoa moshi milangon km mtu ambaye anachoma majan mabichiiiii.Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao[emoji23]
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga.Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama.ng'ombe vyovyote.
Nipe majina yako na ya mama mzazi.thibitisha wewe basi uliye fanya researches kama hii imani uchwara ipo
Yaani wewe ni mjinga sana.Hakuna sehemu nimesema kazi hii itafanywa na Mimi, kwa hio usiseme Mimi ndio mchawi hapo naomba uniombe radhi kidogo ila watendaji wa kazi nawajua na humu wapo
Iblis Bin Shetan kanipa majina matatu ya kwake na ya mama yake
Jina lake: ALBERT JAMES MAZIGAWA
Jina la Mama yake: ANNA PETER KIMARO
Kwa hio wazee wa Nyanga changamkeni mtoe funzo kwa kijana huyo hapo nimewawekea
hamna lolote mm sirogeki nimpe majina yangu mie zuzu au mm mwamposa nimemdanganya na pamoja na uchawi wake kashindwa kujua kama nimemdanganya hapo 😂 😂Yaani wewe ni mjinga sana.
Kwanin umefanya hivi?
Ndo mana nilikua sitak kuwapa majina yangu sbb najua nyie hamna akili nzuri.
Umekosea sana
🤣🤣🤣🤣
mpuuzi wewe sitoi majina kama huwezi kuyajua basi endelea kuwa mbashiriNipe majina yako na ya mama mzazi.
Nitumie tuu PM mkuu
Nilitaka kushangaa mkuu utoe majina ya kweli kwa hawa vichaa😂.hamna lolote mm sirogeki nimpe majina yangu mie zuzu au mm mwamposa nimemdanganya na pamoja na uchawi wake kashindwa kujua kama nimemdanganya hapo 😂 😂
Zamani ipi mkuu????? Nina wasiwasi usharogwa tayari mkuu ila hujijuizaman nilikua navaa nin kwan mkuu?
💩💩💩☻️☻️☻️🤣🤣🤣😂😂😂🤪🤪😜😜😜uandishi wako tuu unafanana akili na hivi vijamaa...punguza munkali dogo JF ni mjinimpuuzi wewe sitoi majina kama huwezi kuyajua basi endelea kuwa mbashiri
Utumiwe PM then uje kuyamwaga hapa😂Nipe majina yako na ya mama mzazi.
Nitumie tuu PM mkuu
Kald katoto kangu kalikoua nyoka bado nakapenda sana.🤣🤣🤣🤣
acha kudanganya watu jirani.
Mie mzee vizuri tu
mazuzu kweli hawa wanaomba majina pm wanakuja kuyabwaga hadharani 🤣 🤣Utumiwe PM then uje kuyamwaga hapa😂
Kwa faida ya wengi mkuu chap ningeyarundika hapa🤣🤣🤣Utumiwe PM then uje kuyamwaga hapa😂
usi panic mchwai uchwala huna uwezo wa kuni roga wewe na ukoo wenu wote.kafanyeni mazingaombwe mpate vi miambili miambili.😎💩💩💩☻️☻️☻️🤣🤣🤣😂😂😂🤪🤪😜😜😜uandishi wako tuu unafanana akili na hivi vijamaa...punguza munkali dogo JF ni mjini
🤣🤣🤣🤣nimegundua huna unachojua mkuu wewe mweupe tu.usi panic mchwai uchwala huna uwezo wa kuni roga wewe na ukoo wenu wote.kafanyeni mazingaombwe mpate vi miambili miambili.😎
Kwa mama na baba yangu ndio.Wewe ni MTOTO
wewe ndo huna unacho elewa umejaza mavi kwenye ubongo🤣🤣🤣🤣nimegundua huna unachojua mkuu wewe mweupe tu.
Utakuwa mpagani bila shaka