Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Wanao amini uchawi na kwende kuombewa makisani Wana matatizo ya msongo wa akili. Yaani hawajitambui ipasavyo. Humu watu wanasema weka majina wakati majina mtu hupewa anapozaliwa au anapoamua kutumia Jina alipendalo. Wanataka majina wakati hakuna binadamu mwenye hati Maliki ya Jina. Mfano Kuna Mohamed said na John Samuel wangapi duniani. Je unaweza vipi kutumia majinaa haya Ili kumpata mtu unayetaka kumfanyia nguvu za Giza ambazo hazipo bila kumuona physically. Acheni Imani potofu na nendeni mkapate tiba hospital kwenye kitengo Cha magonjwa ya akili.
 
Hawa watu hawana tofauti na watu wanaoamini hizi dini za maboti, ni kuwasamehe tu.
 
Wasanii wa bongo muvi wanakutukana kupitia account yangu......wanasema kwanini unawafuata fuata, ishi maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…