zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Fyokofyoko unaogopa kufa kimabullshit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fyokofyoko unaogopa kufa kimabullshit
Mwoga halafu unatangaza kutoa hela, wanaologa lazima wapate vitu hivyo au chochote muhimu kutoka kwako wakitumie. Mpe basi amalize kazi yake si kujitunisha kifua hapaHuwezi kupiga ramli ukaviona mwenyewe? [emoji23]
Aniroge nani mnarogwa nyinyi wenye Imani haba hakuna uchawi mbele ya YAKOBOHujawahi kupigwa ukapigika hujawahi kuteseka siku ukinyonywa damu ingali bado upo hai ndio utaelewa, tren linagonga Gari ndani kuna baba mama na mtoto mdogo, baba Mama wanakufa papo hapo Ila mtoto anatoka mzima bila hata jeraha moja Wala kuvunjika pahala, niulize Mara 3
Hakuna kitu aise...sijui leta nywele,uzi blah blah kibao hahaJamani mpaka sasa hivi mtoa mada hajarogwa! Wachawi mbona mnaniangusha Ml 25 hamzitakiiiii [emoji1787]
Haujui kwanini kanisani kuna kengele na haujui kwanini msikitini kuna sipika kubwa za kupiga kelele za Azana, utajulia wapi masuala ya wachawi ?Anipige nani mnarogwa nyinyi mliekuwa na iman haba hakuna uchawi mbele ya Yakobo 😂😂
Babu yako mganga ndivyo anavyokuganyiagaUtarogwa na kufirw@ juu dogo kuwa na heshima na taaluma za watu.
Umepata vijisenti unajiona wewe ndio wewe.
Ndio nmekwambia siku ukinyonywa damu ingali upo hai ndio utaelewa kwamba upo au haupoAniroge nani mnarogwa nyinyi wenye Imani haba hakuna uchawi mbele ya YAKOBO
Mitusi na hiyo imani vimekupendezea kweli.Fyokofyoko unaogopa kufa kima
Ukiwa na Imani kubwa huwezi rogwa watu wasingehangaika kuwauwa watu wasumbufu kama Lissu badala yake wangetumia uchawi ukiona unarogwa ujue hauna Imani nakupa hii chukua itakusaidia 😁 😁Haujui kwanini kanisani kuna kengele na haujui kwanini msikitini kuna sipika kubwa za kupiga kelele za Azana, utajulia wapi masuala ya wachawi ?
Aah wapiiii hawana lolote, unakumbuka yule aliyekua Sheikh mkuu wa Dar alimwambia Mange hatoboi huu mwaka wa pili naona Mange anazidi kudunda,Eti bila majina matatu hawawezi kuniloga.
Wengine wanadai sina vigezo vya kuvutia wachawi waniloge[emoji1787]
Mmoja tu ndo kasema anaweza kuniloga bila majina yangu.
Niko hapa namsubiri.
Msiponioma kesho nzima kwa huu uzi mjue washapita na mim usiku[emoji23]
Hebu msinichoshe mim na maujinga yenu.Mwoga halafu unatangaza kutoa hela, wanaologa lazima wapate vitu hivyo au chochote muhimu kutoka kwako wakitumie. Mpe basi amalize kazi yake si kujitunisha kifua hapa
Uchawi hauna nguvu nyinyi mnarogwa kwakuwa hamna imanNdio nmekwambia siku ukinyonywa damu ingali upo hai ndio utaelewa kwamba upo au haupo
mtoto we si haba🤩Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo.Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari.Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu.Albino,Vipara,wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason.Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga.Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa,basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka.Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi.Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni.Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona.Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao😂
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga.Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama.ng'ombe vyovyote.
Si unataka kulogwa wewe mpe hizo info basi hata PM, vinginevyo umekuja hapa kujimwambafai tuHebu msinichoshe mim na maujinga yenu.
Majina yako matatuMitusi na hiyo imani vimekupendezea kweli.
Hamna mchawi anayeweza kuniloha bila hizo info?Si unataka kulogwa wewe mpe hizo info basi hata PM, vinginevyo umekuja hapa kujimwambafai tu
Sa matusi ya nin🤣Majina yako matatu
Majina ya Mama yako matatu
Kabizi hivyo vitendea kazi mezani subiri uje uchezee viwembe yaan mtu hata hujalowekwa kwenye chungu chenye dawa unajifanya kutamba km umechanjiwa kucha ya Simba kumbe kima tu
Hakuna analolijua mjinga mmoja huyoSi unataka kulogwa wewe mpe hizo info basi hata PM, vinginevyo umekuja hapa kujimwambafai tu
Jirani mbona unataka vita ya mawe wakati uko kwa nyumba ya vioo?Hebu msinichoshe mim na maujinga yenu.