Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

Mwakani nitajiunga nichukue tuzo kwenye mada ya jins ya kumfanya mpenz wako aridhike kitandani mana nina mbinu mazubutu razima nibebe tuzo naomben kuraa zenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kwa ubaya ila ukisoma heading za hao washindi maandiko yao unaona wamevuna kifungu mlichokiweka wenyewe ambacho kilikua kinaeleza wazi kwamba kichwa cha habari kisizidi maneno manne lakini nimetazama washindi wot vichwa vyao vimezidi maneno manne na kupitiliza hili ni limekaaje?? au mnatoa maelekezo ambayo hamuyafanyii kazi enyewe?
 
Back
Top Bottom