Zipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Ndo njia ninayoitumiaga ila ilikuja kunizingua nikaona bora condom tu.Ukiweza kufuatilia kalenda vyema haina mizinguo yoyote!
Kabla ya kuanza kufuata njia hii ni vyema ukajifanyia kautafiti kama miezi3 mfululizo.
Ujue mzunguko wako ni wa siku ngapi.
Calendar inasumbua kwa sababu mwili wa mwanamke na kiwango cha hormones hubadilika badilika kulingana na vyakula,hali na utulivu wa akili,mazingira,magonjwa,dawa n.k.My dear calendar inazinguaga sometimes. Condom nayo mtihani jamani maana yango na yango mpango mzima.
Ebu tusaidie utaratibu upi?hizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
Hii ni hakika asilimia mia moja.Njia nyingine pekee ya asili iliyo salama ni kuacha kutommbana tu kama hauko tayari kupata mimba kwa muda huo.
There you are.Calendar inasumbua kwa sababu mwili wa mwanamke na kiwango cha hormones hubadilika badilika kulingana na vyakula,hali na utulivu wa akili,mazingira,magonjwa,dawa n.k.
Yani ni kazi sana.
Kwa raundi ya kwanza ni ngumu sanaKalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.
Mbegu za mnyonyo nimezisikia pia ila sijawahi kutana na mtu anaezitumia na akaniambia efficient yake ikoje. Wengine wanakwambia mpaka kunywa Coca-Cola baridi after tendo.Zipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.
Wanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa maji ya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.Mbegu za mnyonyo nimezisikia pia ila sijawahi kutana na mtu anaezitumia na akaniambia efficient yake ikoje. Wengine wanakwambia mpaka kunywa Coca-Cola baridi after tendo.
Me ndio siwezagi kabisa kumwaga nje, natapataga hasara ya kuwanunulia MISOKalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.
vumbi la mkongo linakuhusu mkuuHiyo namba namba 12 inanihusu.... Ni hatari... Mtu hafiki kileleni hata mkeshe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sijui nani anathibitishaga hizi njia. Tuendelee na condom na calendar tu ndo pekee kilichobakiWanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa majibya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.
nadhani ni kuacha kujigi jigiSasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Utani upi tena???Mkuu acha utani.
Kwa kweli...nasikia hizo njia za hospitali zinaweza sababisha ukatoa maji mengi sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sijui nani anathibitishaga hizi njia. Tuendelee na condom na calendar tu ndo pekee kilichobaki
Kuacha hilo tendo. Hujui ndo starehe ya sisi maskini???Utani upi tena???
π π π πHili ni janga kabisa! Nilipanga kupata watoto watatu nimepewa Thank God! Sasa kwenye kuzuia nisiongeze mtoto mwingine ni kwikwi kwakweli! Yaani ni shida ! My wife becomes sweeeter as days count ! Kuwithdraw with all that sweetness of my love ni mtihani mkubwa kwelikweli! Condom no way! Hiyo midawa ndio sitaki hata kuisikia .... Calendar?????? Hapa Mungu unambidi aingilie kati tu hakuna namna