Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Athari za kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa

Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Zipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.
 
Ukiweza kufuatilia kalenda vyema haina mizinguo yoyote!
Kabla ya kuanza kufuata njia hii ni vyema ukajifanyia kautafiti kama miezi3 mfululizo.
Ujue mzunguko wako ni wa siku ngapi.
Ndo njia ninayoitumiaga ila ilikuja kunizingua nikaona bora condom tu.
 
hizi njia za uzazi wa mpango mbaya sana yaani kuna binti nilikuwa nae tukiwa faragha alikuwa anamwaga damu yaani full kubleed mashuka kulowa damu tupu ilifika kipindi nikimuomba mchezo akikumbuka suala la kumwaga damu anapata mfadhaiko sana sasa kama mtu anafadhaika kabla ya tendo husitegemee mtu kufurahia tendo hata mwanaume ukazane vipi. tatizo sex tumeifanya kama starehe ndio maana hofu ya mimba imekuwa kubwa ila kama sex ingechukuliwa kama hitaji la mwili basi lingepangiwa utaratibu ambao ungeweza kuzuia mimba hisiyotarajiwa hata bila kutumia hizo njia za kimagharibi.
Ebu tusaidie utaratibu upi?
Ngono ni starehe pia,most natural sio kwa ajili ya kutengeneza watoto tu.Tusirudi kwenye ujima jamani.
 
Hivi ni kweli mafuta ya condom hayana madhara?
Kwanini mtu anawashwa na kuvimba?Wakati mwingine anapata Vaginosis kabisa?Au ilibidi kuchukua allergy test ya mafuta husika kabla ya kutumia Condom?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Zipo,wazee wa male wanajua.Mfano mbegu za mnyonyo kama sijakosea...Sijajua vizuri ila nasikia zipo ila sio efficient unaweza kunasa mimba.
Mbegu za mnyonyo nimezisikia pia ila sijawahi kutana na mtu anaezitumia na akaniambia efficient yake ikoje. Wengine wanakwambia mpaka kunywa Coca-Cola baridi after tendo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbegu za mnyonyo nimezisikia pia ila sijawahi kutana na mtu anaezitumia na akaniambia efficient yake ikoje. Wengine wanakwambia mpaka kunywa Coca-Cola baridi after tendo.
Wanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa maji ya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.
 
Kalenda siku ukiona inazingua option ninayoona ni nzuri ni hiyo ya kutoa nje, ila inahitaji mtu muelewa na smart maana risk ni kubwa.
Me ndio siwezagi kabisa kumwaga nje, natapataga hasara ya kuwanunulia MISO
 
Wanasema Coca kabla na baada ya tendo na wanasema kunywa majibya majivu kabla,hii njia ilimpatia ndugu yangu mtoto mzuri kabisa wa Kiume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sijui nani anathibitishaga hizi njia. Tuendelee na condom na calendar tu ndo pekee kilichobaki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukitumia njia za kisasa Usitumie mfululizo yaani miaka.... Itakuwa ngumu kushika mimba kwasababu umeshaharibu mzunguko asilia mwili unazoea ule fake.

Na kabla ya kujaribu kushika mimba ni vema uache njia hizi kwa muda (hata mwaka na zaidi) ili mwili urudi Hali yake ya kawaida.
 
Hili ni janga kabisa! Nilipanga kupata watoto watatu nimepewa Thank God! Sasa kwenye kuzuia nisiongeze mtoto mwingine ni kwikwi kwakweli! Yaani ni shida ! My wife becomes sweeeter as days count ! Kuwithdraw with all that sweetness of my love ni mtihani mkubwa kwelikweli! Condom no way! Hiyo midawa ndio sitaki hata kuisikia .... Calendar?????? Hapa Mungu unambidi aingilie kati tu hakuna namna
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Sijui nani anathibitishaga hizi njia. Tuendelee na condom na calendar tu ndo pekee kilichobaki
Kwa kweli...nasikia hizo njia za hospitali zinaweza sababisha ukatoa maji mengi sana.
Ila nchi zilizoendelea kabla ya kutumia njia yeyote mtu anafanyiwa test ni ipi itamfaa.
Na siamini kama kwao wanatumia dawa hizihizi zenye kuleta kizaa zaa.
 
Hili ni janga kabisa! Nilipanga kupata watoto watatu nimepewa Thank God! Sasa kwenye kuzuia nisiongeze mtoto mwingine ni kwikwi kwakweli! Yaani ni shida ! My wife becomes sweeeter as days count ! Kuwithdraw with all that sweetness of my love ni mtihani mkubwa kwelikweli! Condom no way! Hiyo midawa ndio sitaki hata kuisikia .... Calendar?????? Hapa Mungu unambidi aingilie kati tu hakuna namna
🙂 🙂 🙂 🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom