Na Mungu yupo kwasababu athari zake zinaonekana ardhi anga wewe bahar nk... Ni kazi zake.Thibitisha kuwa yeye na ukoo wake ni kazi ya Mungu
Upepo upo kwasababu athari zake zinaonekana na zinapimika (windvane) na mtu yeyote anaweza akauhisi au akupima na kuutambua.
Wala haihitaji mchungaji pekee ajifungie auone halafu aje kuwasimulia habari zake ili mmpe sadaka
One thing i have come to believe these days, is that there is neither heaven nor hell after death, there is only reincarnation
Hoja yako nyepesi eti kwa kuwa kitu hakionekani basi hakipo. Laki kwa kuwa ni wewe anayebisha uwepo wa Mungu, kazi ya kutoa ushahidi inakwangukia mwenyewe. Hivi vilivyopo vinatokea wapi? Kama vitu vilitokea kwenye "big bang", hivyo vilivyogongana vimetokea wapi? Kazi ya kurudi nyuma unayo wewe Sisi tumeshamaliza kazi, ukirudi nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsiri kwa hivi tuvionavyo. Kwetu sisi hivi vitu vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali. Bahati nasibu haiwezi kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwengu seuze ajali.Thibitisha kuwa yeye na ukoo wake ni kazi ya Mungu
Upepo upo kwasababu athari zake zinaonekana na zinapimika (windvane) na mtu yeyote anaweza akauhisi au akupima na kuutambua.
Wala haihitaji mchungaji pekee ajifungie auone halafu aje kuwasimulia habari zake ili mmpe sadaka
Ipo imani ya kutoamini uwepo wa Mungu, na waumini wapo organized, na wanajaribu kutafuta waumini kama dini nyinginezo. Wanaitwa Humanists. Wewe una hoja gani mpya ambayo haijajadiliwa humu ndani kwenye posts elfu na elfu tokea JF ianzishwe kuhusu uwepo au kutokuwapo kwa Mungu hadi uje na huu uzi?Hakuna imani ya kutoamini kitu
Ni sawa na kusema mtu ana utajiri wa umasikini
Au kusema mtu ana upendo wa chuki
It doesn’t make sense.
Kwahyo sijaja hapa kuhubiri ‘imani ya kutoamini’
Nimekuja kupinga vitu ambavyo wengi wenu mnaamini bila ushahidi wowote
Universal truth ipo,, sema tunaweza tukawa hatuijui tu. Lakini kutoijua haimaanishi haipo.You are right , if you believe it .
Ipo hivi , heaven ina exist endapo kweli unaamini kuwa ina exist ,
Hell ina exist endapo kama unaamini ina exist
Kama huamini uwepo wa Hell , then it is true hakuna hell.
Kama unaamini kula pork ni dhambi, then ni kweli kula pork ni dhambi.
Kama unaamini kula pork sio dhambi, then ni kweli kula nguruwe sio dhambi.
The moral ni kwamba there is no universal truth , Haya mambo yanategemea na culture conditioning na moral development ulizopitia.
Huna hoja yoyote mpya wewe, na isitoshe hizo hoja unazotoa wewe siyo chanzo. Kama umejiridhisha Mungu hayupo kwanini usikae kimya na kuendelea na maisha yako kama kawaida? Ina ku cost nini?Universal truth ipo,, sema tunaweza tukawa hatuijui tu. Lakini kutoijua haimaanishi haipo.
Zamani watu walibishana kama dunia ni duara au flat na wakatengana kwa makundi ya ‘imani’ hizo mbili
Walioamini ni flat walikuwa wengi zaidi na waliwauwa wale waliosema ni duara
Lakini sayansi ilivyoendelea sasa sio jambo la kuamini tena, ni jambo la kujua tu.
Hii sio hoja yangu, tafadhali rudia tena kusomaHoja yako nyepesi eti kwa kuwa kitu hakionekani basi hakipo
Kazi ya kutoa ushahidi ipo kwa yule anayesema kitu fulani kipo sio yule anapinga uwepo wake (ingawa mimi sijasema Mungu hayupo). Laki kwa kuwa ni wewe anayebisha uwepo wa Mungu, kazi ya kutoa ushahidi inakwangukia mwenyewe.
Mimi sijui vimetokea wapi, hilo haimaanishi vimetokea kwa MunguHivi vilivyopo vinatokea wapi? Kama vitu vilitokea kwenye "big bang", hivyo vilivyogongana vimetokea wapi?
Ukirudi nyuma unafikaje kwenye uwepo wa Mungu?? Unaweza kutuonesha hili?Kazi ya kurudi nyuma unayo wewe Sisi tumeshamaliza kazi, ukirudi nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsiri kwa hivi tuvionavyo.
Ukiona mji ulivyopangiliwa kama Dar unaweza kusema watu walikutana siku moja wakakubaliana kuijenga dar.Kwetu sisi hivi vitu vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali. Bahati nasibu haiwezi kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwengu seuze ajali.
Hakuna hiyo imani,, yani labda useme wana imani zingine na wapo organized katika hizo ila pia hawaamini uwepo wa mungu.Ipo imani ya kutoamini uwepo wa Mungu, na waumini wapo organized, na wanajaribu kutafuta waumini kama dini nyinginezo. Wanaitwa Humanists. Wewe una hoja gani mpya ambayo haijajadiliwa humu ndani kwenye posts elfu na elfu tokea JF ianzishwe kuhusu uwepo au kutokuwapo kwa Mungu hadi uje na huu uzi?
Hivi hata post ya kwanza umeisoma kweli?? Mbona kama huelewi hata nazungumza nini??Wapi nimesema nakijua chanzo??Huna hoja yoyote mpya wewe, na isitoshe hizo hoja unazotoa wewe siyo chanzo.
Wapi nimesema Mungu hayupo??Kama umejiridhisha Mungu hayupo kwanini usikae kimya na kuendelea na maisha yako kama kawaida? Ina ku cost nini?
Ingekuwa vyema kama ungeweka wazi vyanzo vyote ulivyotumia kuthibitisha hoja zako na siyo kujifanya kama wewe ndiyo mtaalamu wakati uliyoandika ni maoni yako tu.Hakuna hiyo imani,, yani labda useme wana imani zingine na wapo organized katika hizo ila pia hawaamini uwepo wa mungu.
Lakini huwezi kusema wako organized katika kutoamini Mungu..haya hauamini mungu then what??
Kwanza Humanism haihusiani na kutoamini mungu, ni mtazamo wa kifikra na kimaadili unaoweka kipaumbele kwa utu, heshima, na ustawi wa binadamu. Ni falsafa inayojikita katika uzoefu wa binadamu, maadili yanayotokana na ubinadamu, na nafasi ya binadamu katika ulimwengu. Humanism inalenga katika maendeleo, maendeleo ya mtu binafsi, na kujitolea katika kuimarisha ubora wa maisha ya binadamu kwa njia zote.
Usiende mbali. Hiyo imani yako unaijua mwenyewe na kama umejiridhisha ni sahihi basi tatizo kitu gani? Baki na imaini yako. Usitafute malumbano kinguvu kuhusu imani yako.Hivi hata post ya kwanza umeisoma kweli?? Mbona kama huelewi hata nazungumza nini??Wapi nimesema nakijua chanzo??
Mimi nachokisema mpaka sasa hakuna ajuaye chanzo, sio wachungaji na wala sio wanasayansi kwahyo hatuna sababu za kuamini Mungu yupo.
Wapi nimesema Mungu hayupo??
Hata title tu inajielezea.
Atheism sio kuamini kuwa mungu hayupo, bali ni kutoamini kama Mungu yupo.
Na hatuamini kwasababu hakuna ushahidi.
ila anaweza akawepo.
Na kwasababu hakuna ushahidi wa uwepo wake basi hakuna haja ya kuamini yupo.
Umeelewa?
Vyanzo vya hoja zako. Ulibuni wewe mwenyewe kwa akili yako?Nimesema vingi, labda kitu gani unataka niweke chanzo chake?
Mimi sijaja kusema imani yangu humu wala kutetea imani yoyote.Usiende mbali. Hiyo imani yako unaijua mwenyewe na kama umejiridhisha ni sahihi basi tatizi kitu gani? baki na imaini yako. Usitafute malumbano kinguvu kuhusu imani yako.
Wewe utakuwa wale wanaitwa "agnostic" , lakini kwaheri. Mwisho wa malumbano. Unaweza kuwa msichana wa Form 3 wewe una daddy issues.Mimi sijaja kusema imani yangu humu wala kutetea imani yoyote.
Mi nimekuja kusema vitu kama vilivyo wala haihitaji kuamini..ni vitu vilivyo wazi kabisa.
Nimekuja kusema kuwa hizi imani za mungu hazina uthibitisho kwahyo haina haja ya kuziamini. Hakuna ajuaye chanzo cha ulimwengu.
Na atheism siyo kusema kuwa Mungu hayupo bali ni kusema kuwa nitaamini Mungu nikipata ushahidi wake, ila kwasasa sina haja ya kuamini hilo.
Basi tuamini kila tunaloambiwa bila ushahidi??
Tuiweke hivi;Wewe utakuwa wale wanaitwa "agnostic" , lakini kwaheri. Mwisho wa malumbano. Unaweza kuwa msichana wa Form 3 wewe una daddy issues.