Contradiction ni errors katika logic inayoonesha uongo wa jambo kwenye hoja“Bila contradiction” hayo ndiyo matarajio yenyewe😂
Hoja kuwa nyingi ni hoja ya kipuuziAsee jibu swali
Zitaje hoja yangu si kwqmba siko nyingi, hoja yangu ni kua umejifungia ktk sifa chache unakosoa ilhali ungejua nyingine pengine ungebaki huna swali
Unaona kijana unapopotea?
Kuzitaja chache haina maana sio sahihi😂
Nakutaka utaje nyingine ili upanue uelewa wako hizo sio kwambq umekosea mkuu
Siyo kweli wewe zitaje kama unazijua na kqmq huzijui maana yake hata hujui unachozungumzia
Hiyo siyo, ninachokutaka ni upanue wigo wa sifa chache ulizojifungia
Na ujue kuwa ujuzi wako kwa dhana ya Mungu ni finyu kuliko uhalisa
Kuzitaja sifa zake hakukuondolei focus, kunakupa picha kubwa mkuu
Kama kawaida mfano irrelevant
Tunazungumzia Mungu hapa sio sheria za usalama barabara Mkuu
Kwanini ulikuwa unamuondoa Mungu kwenye nafasi ya kuhusika na hayo mabaya kwa kisingizio cha nature?Kama aliyetengeneza System ndiyo tunamuita Mungu unawezaje sema kinachotokea hqkina approval yake ilhali ninasema kuwa yeye muweza wa yote?
Mkuu unaelewa unachokisema?
Maan ya uweza wa yote mbona iko wazi
Haswaa ndiyo maana nikakutolea mfano wa Mazigazi.Sio kweli kwa maana gani?
Kwamba mtu anaweza akawa ana experience hallucinations at the same time akawa anajua kuwa vitu anavyovi perceive havipo real?
Sijawahi.Kunipa maana ya kuumba hakuna maana maana yako inatakiwa kuchukuliwa kama ulivyo i-address
Na ndio maana nakuja na mtiririko wa maswali yanayoendana na hoja hiyo hiyo nikiwa najua kuna mahala utakwama kwasababu ya tatizo ulilolutengeneza mwanzo kupitia maana uliyoitoa.
Kwa hiyo swali ni hili
Uliwahi kushuhudia uumbaji wa kitu gani kingine achilia mbali ulimwengu ambao umekushinda?
Ili iwe ni fact ya kibusara kufikiria uumbaji upo?
Ila ni nini ?!Hiyo sio definition ya uhalisia
Hujaonyesha Hilo na huna uwezo huo. Uhalisia mfano nimekutolea. Maana yake ukienda kinyume na uhalisia ujue wewe ni mgonjwa wa akili kama ulivyo wewe. Unatakiwa ujenge hoja kwa kile ninachokiandika Mimi. Mfano wa uhalisia ni wewe kuwa mdogo kiumri kuliko baba yako mzazi.Swala la kusema kitu fulani ni uhalisia nimekuonesha namna watu wanavyoweza kupotoka kwa namna nyingi
.
Nakutoa hapo nakupeleka kwenye dini yeyote inayopingana na yako, mtu huyo akasema dini yake ni ya kweli kwasababu haipingani na uhalisia, wewe utakubali au utahitaji uthibitisho zaidi?
Kwamba claim yeyote inayosemwa kuwa ni uhalisia inapaswa kupokelewa hivyo hivyo kama ilivyo qaailiahwa kwasababu hakuna nafasi ya kilicho daiwa ni uhalisia kikawa ni uongo?
Kama ipo nafasi basi hoja ya kusema kitu fulyni uhalisia bila kuthibitisha itakuwa ni upuuuzi tu
Basi hiyo mazigazi yako ni kitu kingine tofauti na hallucinationsHaswaa ndiyo maana nikakutolea mfano wa Mazigazi.
Then argument yako ishakuwa debunkedSijawahi.
Poa.Then argument yako ishakuwa debunked
Hayo ni maelezo yanayo mhusu mzazi na mtotoIla ni nini ?!
Nipe wewe maana ya Uhalisia.
Hujaonyesha Hilo na huna uwezo huo. Uhalisia mfano nimekutolea.
Maana yake ukienda kinyume na uhalisia ujue wewe ni mgonjwa wa akili kama ulivyo wewe. Unatakiwa ujenge hoja kwa kile ninachokiandika Mimi. Mfano wa uhalisia ni wewe kuwa mdogo kiumri kuliko baba yako mzazi.
Kijana naelekea kukupuuza Sasa, maana naona unaandika ujinga mpaka basim kwahiyo hayo maelezo yanaelezea nini ? Yamekusudia nini hayo maelezo hayana maana ? Kwahiyo wewe unapo toa maelezo juu ya kitu Fulani, kwa mtazamo wako huangalii kilicho elezea ? Sasa kwanini unatoa maelezo ?Hayo ni maelezo yanayo mhusu mzazi na mtoto
Uhalisia ni nini?
Kwahiyo nilicho kiandika siyo uhalisia ? Nimekufundisha namna ya kutoa maana. Kutoa maana kwa mfano, labda kijana hujishighulishi na mambo ya lugha unakuja kutupotezea muda hapa, lakini huko nyuma nilishakupa maana ya uhalisia na kikakufasilia kwa mifano ili uelewe.Mi najua umetoa mfano wa baba na mtoto hujatoa mfano wa uhalisia, labda kama kikwenu neno uhalisia humaanisha baba na mtoto
Ukiambiwa utoe definition ya baba na mtoto utasema ni uhalisia?
So hicho ni kitu kingine vinginevyo elezea kwa uthibitisho implications za mzazi na mtoto kuhusika kwenye definition ya uhalisia imetoka wapi?
Kijana jifunze kuandika maneno machache na uguse hoja. Uhalisia unahitaji kipimo gani ili ujulikane ?Sasa unarudi kwenye hoja zangu zile zile ambazo nilikuwa naku challenge kwenye madai yako ya kusema Mungu yupo kwasababu ndio uhalisia
Kupitia hayo maneno uliyosema kuwa mimi ni mgonjwa wa akili kwasababu naenda kinyume na uhalisia, unazidi kuthibitisha kuwa swala la uhalisia lina hitaji zaidi kipimo kuthibitisha kuliko maelezo matupu
Umeonesha kwamba ipo nafasi kubwa kwa mtu kudhani yupo sahihi katika maono yake lakini kihalisia akawa amepotoka.
Kwenye maelfu ya dini ambazo zinapingana zenyewe kwa zenyewe ambazo zote zimedai kuwa mafundisho yake ni ya kweli na ukweli huo ni halisia
Niambie unatuelezeaje kuwa dini hizo zote zinaweza kuwa sawa kwasababu zote zimedai ni uhalisia?
Usitusimulie situation unayopitia, hilo sisi hatutaki kulijua na wala sio lengo kwenye huu mjadalaKijana naelekea kukupuuza Sasa,
, maana naona unaandika ujinga mpaka basim kwahiyo hayo maelezo yanaelezea nini ? Yamekusudia nini hayo maelezo hayana maana ? Kwahiyo wewe unapo toa maelezo juu ya kitu Fulani, kwa mtazamo wako huangalii kilicho elezea ? Sasa kwanini unatoa maelezo ?
So unataka kuniambia hiyo big bang ndio iliyo design hixo dna na kuziweka kwenye meteorite na kui shoot direct to earth
Swali lepesi, weka hapa source ya huko ulipotoa maana ya hilo neno uhalisia tuone kama limefafanuliwa kuwa uhalisia ni baba kuwa mkubwa kuliko mtotoNaona nakupa kazi usiyo iweza, kwamba utoe maana ya Uhalisia kumbe hujui ni nini.
Kwahiyo mtoto kuwa mdogo kiumri dhidi ya baba yake si uhalisia bali ni maelezo, Sasa hayo maelezo yameelezea nini ?