Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Contradiction ni errors katika logic inayoonesha uongo wa jambo kwenye hoja“Bila contradiction” hayo ndiyo matarajio yenyewe😂
Kwenye reasoning kitu chochote chenye contradiction hakiwezi kuwa sahihi
Ni sawa na kusema binti mwenye umri wa miaka 20 ana mama mzazi mwenye umri wa miaka 3
Mtu akawa anapinga kuwa hilo haliwezekani kwasababu ni contradiction inayoonesha mtoto hawezi kuwa na umri mkubwa kuliko mama yake
Halafu we ukawa unasema hayo ni matarajio yako