Atheists wana mtindio wa ubongo

KWA wakati ule zilikuwepo hizo techs ?
Je mabadilishano ya Carbon toka kwa kiumbe na mazingira hakukuathiri accuracy ?
Viumbe wa prehistoric dating zao haziko accurate. Kuna room of error ndiomaana utaskia wanasema "approximately 700MYA". Ni ngum kupara accurately kiumbe husika aliishi mwaka gani exactly kwasababu dating inafanyiwa fossil.

Hapo wana calculate uwezekano wa lin huyo kiumbe aliishi kabla ya hio fossil ilkua formed. Fossil formation inalandana na rock formation, ndiomaana ukiangalia fossils utaona ni kama mawe. Topic ya form 3 hii nafkir geography, sijui wanetu mliruka shule au hamkua mnapay attention?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No you dont have proof all i here is just a story with nothing to prove tuletee picha za hao viumbe na tofauti zao ili tuweze kujiridhisha maana all i hear ni story za the so called uchunguzi tuletee picha tuone wenyewe

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Sasa picha za nn wakat mifano iko hai. Ww hujui breeds mbali mbali za mbwa? Unafkiri zimetengenezwaje hizo?

Izo research hata ww ukielewa unachofanya unaweza kuziconduct ukapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanao advocate evolution ningependa watuoneshe walau mnyama mmoja ambaye anamalizia evolution yake now kwenda kuwa kiumbe kingine.

Wasiongelee kwenye past tu, watuambie sasa kuwa "unamuona yule sokwe?" baada ya muda si mrefu atakuwa modern man. Maana ametumia milions of years ku evolve.

Utasikia habari za miaka milioni kadhaa, mara bilioni kadhaa iliyopita...
 
Evolution haina final goal. Yan sio guarantee kwamba sokwe inabid final yake awe binadamu. Yan pale sokwe vile alivo ndio yuko fully evolved na fit kwa mazingira aliopo.

Na ukitaka mnyama ambae yuko kwenye evolving stage... well.... viumbe wote tuko katika evolving stage i.e we're constantly evolving..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are we evolving at the same rate? kama sivyo, basi we would see differences between animals of the same kind.
 
Check majibizano yenu mwenzio anapata likes nyingi kuliko wewe daah watu wameshaanza kufunguka akili.
 
Anhaa..., Basi Mkuu naomba tukubaliane tu kwamba still ni dhana tu Bado hakuna proof yoyote juu ya Evolution Theory.

Au unasemaje...
Mkuu yan nakupa proof afu bado unakataa[emoji23]

Ushawahi kudeal na panya au kungun ww? Ushawah kuwapa sumu? Mara ya kwanza wanakufa ukiwapa sum then baada ya muda wanaacha kufa, hio pia ni Evolution.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wa kisayansi ni kutafuta ushaidi wa jambo fulani, na kuna wakati inakosa majibu. Kushindwa kupata jibu la kisayansi, hakuhalalishi kuwa hakuna jibu, bali ni kufikia ukomo wa uwezo wake.

Ni vema wanasayansi wakubali kuwa hawajui kuthibitisha uwepo wa Mungu kuliko kusema Mungu hayupo bila uthibitisho.

Je, sayansi imetumia nini kuthibitisha kuwa Mungu hayupo?
 
Observations za kawaida tu. Kuna miungu zaid ya 1000. Na hakuna na hata mungu mmoja aliethibitishwa kisayansi, wala waumini wake kuthibitisha kua yupo.

Cha ajabu hao wanaoamin miungu wenyew hawakubalian kua mungu yupi ni wa kwel, wote wanapingana.

Kisayansi tunaamini kua asteriod kubwa ilikumbana na jua ndio ikatengeneza solar system. Tunaendelea kustand na hii kwa sababu still tunaona asteroids mbali mbali zikikumbana na jua, sayari nyine na miezi. Atleast kuna proof ya hio. Ila miungu? We've got non!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan umempa jibuu ambalo yeye mwenyewee hatakaa akusahauuu.

Umempaaa za uso haswaaaa. Nakukubali hapooo tyuuh.
 
Scars

Wee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nakukubali sanaaaaa. Huwa unanikoshaa na madini yakooo.
Uendeleee kutoa hili darasa huru, kufungua watu akili.
 
Ushawahi kuambiwa nani kama Special Relativity ni story au Blackhole ni visasili ? Inaonekana Sayansi huijui kijana, hayo nuwa yanasemwa baadae, jambo linapo Anza kujadiliwa na kutiliwa Mashaka.
Haha... sasa hivo sini vitu asilia kabisa.

Mfano special relativity basically inakuambia kua, kitu kinavokaribia speed ya mwanga kinaongezeka energy, au increase in mass. We unaona kuna uongo hapo? Mfn; ukipigwa na risasi unajua kwann inakuletea majeraha, pengine kuvunja hata mfupa wako ihali risasi ni kitu kidogo tu? Ni kwasababu inakua na kasi kubwa ivo na energy yake inaongezeka. Na ndio sababu kwamba utapona ukigongwa na semi trailer linalo enda kwa spidi ya 2km/h ila utakufa ukigongwa na baiskeli inayoenda 450km/h

Black holes ni vitu halisia na vipo sjui kwann unaita visasili...

Huenda sayansi siijui, ila na ww pia kuna kitu kwente sayansi hukijui. Au ni ile umekariri tu ile sayansi ya kujibia mtihan ila hamna unachoelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…