Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Sasa kama hujui ni kwamba 80% ya saratani zinatibika ikiwa umegundua tokea stage za awali. Ndiomaana tunashauriwa kwenda hosp mara kwa mara kufanya check up... na binadamu sio kiumbe pekee anaepata saratani, karibu kila mnyama mwenye seli zaid ya moja anauwezo wa kupata sarataniSayansi imeshindwa kutibu saratani,maana yake binaadam haujui vyema mwili wake,ikiwa mwili wake haujui vyema atslijua jua lililo mamilioni ya mamia ya kilomita!?
Kwa nini iwe steji ya awali!?Sasa kama hujui ni kwamba 80% ya saratani zinatibika ikiwa umegundua tokea stage za awali. Ndiomaana tunashauriwa kwenda hosp mara kwa mara kufanya check up... na binadamu sio kiumbe pekee anaepata saratani, karibu kila mnyama mwenye seli zaid ya moja anauwezo wa kupata saratani
Sent using Jamii Forums mobile app
Paka kuwe na ushahidi!! Huwezi kuamini kitu tu bila kuepo na ushahidi...Kwa hiyo ili kuthibitisha kwamba walikuwepo lazima pawe na fossils!!?..unajisikia vizuri lakini!!?..Pana upunguani kwenye hiyo hoja
Utaanza kusema na huyo ancestor wake ni nan, na huyo ni nan.. mpaka saangapiAncestor wake ni nani..!?
Kuku si wapo,nyinyi mnaojua wametokea miaka 58k iliyopita ndo mtupe ushahidi wa Madai yenu,na kuzifanya fossils kuwa hoja ni kirojaPaka kuwe na ushahidi!! Huwezi kuamini kitu tu bila kuepo na ushahidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhh ndiyo elimu inavyopatikana kwa kujiuliza maswali.Utaanza kusema na huyo ancestor wake ni nan, na huyo ni nan.. mpaka saangapi
It's getting boooooring
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sio jibu la swali uliloulizwaWe jamaa bana...unazungukazunguka tu,so tuanze Tena!!...kachukue tarumbeta ufanye mazoezi koo lisikwame kesho upulize vizuri kwenye kundi lenu la kidedea
Ushahidi upo kila sehemu bro... ingia hata googleKuku si wapo,nyinyi mnaojua wametokea miaka 58k iliyopita ndo mtupe ushahidi wa Madai yenu,na kuzifanya fossils kuwa hoja ni kiroja
Alitokana kwa ancestor wake! Mm siwez kukariri majina ya predecessors wa species wote dunian, sio fani yangu hio lol... maana hata nikitafuta jina lake utaniuliza tena na huyo ancestor wake ni nani.Hahhh ndiyo elimu inavyopatikana kwa kujiuliza maswali.
So, huyo Ancestor wake ni nani?
Kachukue tarumbeta,sababu huna unachoelewa na una kumbukumbu za ngiriKo sio jibu la swali uliloulizwa
Kwa uthibitisho gani?
Kila kinachoandikwa kiingereza unaona Cha maana!?
Ooh interesting,...Huyo Kiumbe wa majini kwa sasa yupo wapi ?Ila theory iko hivi... viumbe wote walianzia ktk kiumbe wa majini ambae ali crawl out akaweza kuadopt mazingira, thanks to random gene mutations. Ndio ivo viumbe wote wakatokea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bask tufanye kwamba mungu yupo(ili ufurahi) lakini je nani alimuumba yeye huyo mungu? Kama vile pilau haliwezi kujipika sasa tuambie mungu alijiumba vipi. Halafu hizi mada umerukia tu bado hujakua kiakili
Huu utoto unaelewa swali langu ? Kuwepo kwa jua hakuhitaji ithibati kijana. Sababu ni Self Evident. Kuhusu kipimo Cha joto la jua unaweza kutupa ushahidi walio pima jotoridi la Jua walipimaje pimaje ? Naona umeingia sehemu ambayo si yako.
Huwezi Kuta mjadala wa jua sababu hakuhitaji ushahidi kuonyesha uwepo wake, sababu linaonekana. Kitu ambacho kinahitaji ushahidi ni kile amabacho siyo "Self Evident". Kama uwepo wa Mola hauhitaji ushahidi sababu ni "Self Evident". Mnao hitaji ushahidi ni wagonjwa wa akili na msio utaka ukweli, japo ishara za kuonyesha uwepo wa Mola ziko nyingi sana.
Kijana una akili ndogo sana, tuoe ushahidi ambao unahitajika kuthibitisha ya kuwa baba ako mzazi aliye kuzaa ni mkubwa kuliko wewe. Au ushawahi kusikia wapi wanathibitisha hili au kujadili hili ?
Ni wakati gani vipimo hivyo hutumika kupima umri ? Nataka ujenge hoja kwa mfano nilio utoa wa baba mzazi na mtoto. Halafu mnakataa kama hamna akili timamu.
Hapana. Kumbuka flat eathers wanaandika kwa kiingereza ila ndio wapuuz wa kwanza kabisa.Kila kinachoandikwa kiingereza unaona Cha maana!?
Extinct! HayupoOoh interesting,...Huyo Kiumbe wa majini kwa sasa yupo wapi ?
Au hayupo
Mwisho wa dini hua ni huo. Ukiwaambia "thibitisha"Dhibitisha mungu yupo.
Alikua anaitwa nani huyo Kiumbe aliyetoka majini ambae umesema ni chanzo cha viumbe wote!?
Sawa. Kwahio ipi ni kweli basi...?Alikua anaitwa nani huyo Kiumbe aliyetoka majini ambae umesema ni chanzo cha viumbe wote!?
Mkuu sema akili za kuambiwa changanya na zako.. hizo theories zako ni 100%+mark up UONGO!!
Mimi siwezi kukuambia ipi ni kweli, cha kufanya tutafute elimu tena elimu ambayo haipingani na akili.. maana elimu ikipingana na akili ujue huo ni Uongo.