Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Sasa kama hujui ni kwamba 80% ya saratani zinatibika ikiwa umegundua tokea stage za awali. Ndiomaana tunashauriwa kwenda hosp mara kwa mara kufanya check up... na binadamu sio kiumbe pekee anaepata saratani, karibu kila mnyama mwenye seli zaid ya moja anauwezo wa kupata sarataniSayansi imeshindwa kutibu saratani,maana yake binaadam haujui vyema mwili wake,ikiwa mwili wake haujui vyema atslijua jua lililo mamilioni ya mamia ya kilomita!?
Sent using Jamii Forums mobile app