Atheists wana mtindio wa ubongo

Atheists wana mtindio wa ubongo

Sayansi imeshindwa kutibu saratani,maana yake binaadam haujui vyema mwili wake,ikiwa mwili wake haujui vyema atslijua jua lililo mamilioni ya mamia ya kilomita!?
Sasa kama hujui ni kwamba 80% ya saratani zinatibika ikiwa umegundua tokea stage za awali. Ndiomaana tunashauriwa kwenda hosp mara kwa mara kufanya check up... na binadamu sio kiumbe pekee anaepata saratani, karibu kila mnyama mwenye seli zaid ya moja anauwezo wa kupata saratani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama hujui ni kwamba 80% ya saratani zinatibika ikiwa umegundua tokea stage za awali. Ndiomaana tunashauriwa kwenda hosp mara kwa mara kufanya check up... na binadamu sio kiumbe pekee anaepata saratani, karibu kila mnyama mwenye seli zaid ya moja anauwezo wa kupata saratani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini iwe steji ya awali!?
 
We jamaa bana...unazungukazunguka tu,so tuanze Tena!!...kachukue tarumbeta ufanye mazoezi koo lisikwame kesho upulize vizuri kwenye kundi lenu la kidedea
Hilo sio jibu la swali uliloulizwa

Kwa uthibitisho gani?
 
Hahhh ndiyo elimu inavyopatikana kwa kujiuliza maswali.

So, huyo Ancestor wake ni nani?
Alitokana kwa ancestor wake! Mm siwez kukariri majina ya predecessors wa species wote dunian, sio fani yangu hio lol... maana hata nikitafuta jina lake utaniuliza tena na huyo ancestor wake ni nani.

Ila theory iko hivi... viumbe wote walianzia ktk kiumbe wa majini ambae ali crawl out akaweza kuadopt mazingira, thanks to random gene mutations. Ndio ivo viumbe wote wakatokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bask tufanye kwamba mungu yupo(ili ufurahi) lakini je nani alimuumba yeye huyo mungu? Kama vile pilau haliwezi kujipika sasa tuambie mungu alijiumba vipi. Halafu hizi mada umerukia tu bado hujakua kiakili


Eti tufanye Mungu yupo ili nifurahi !!!--- hivyo ndivyo free ideas zako zinavyokutuma??.

Utake usitake Mungu yupo tu.

Eti unauliza je nani alimuumba huyo Mungu??--- Mungu hajaumbwa na yeyote kwasababu kazi ya kuumba ni yake pekee (creation is sorely His work and He doesn't share it with anything). Mungu ni conscious eternity (Umilele unaojitambua) na ndio maana kila kotu kimeanzia kwake (causa causan) la sivyo ulimwengu na vilivyomo usingalikuwepo katika kila hatua ilipaswa kuwepo na mtiririko wa waumbaji wengi kiasi kwamba muumbaji wa mwanzo asingekuwepo au asingejulikana ndio maana ya Mungu kuwa conscious eternity bila conscious eternity kusingalikuwepo na Ulimwengu kabisa kungalikuwa na Nothingness, Conscious eternity iliyokuwa hai ndio chanzo cha uhai wa viumbe hai na visivyokuwa hai, Conscious eternity ndiye Mungu.

Unadai hii mada nimerukia bado sijakua kiakili!!!--- Wewe uliyekua kiakili mbona unaniuliza Mungu aliumbwa na nani??, kwa "akili" zote hizo ulizonazo unashindwa kujua Mungu anazo sifa gani??.
 
Huu utoto unaelewa swali langu ? Kuwepo kwa jua hakuhitaji ithibati kijana. Sababu ni Self Evident. Kuhusu kipimo Cha joto la jua unaweza kutupa ushahidi walio pima jotoridi la Jua walipimaje pimaje ? Naona umeingia sehemu ambayo si yako.

Huwezi Kuta mjadala wa jua sababu hakuhitaji ushahidi kuonyesha uwepo wake, sababu linaonekana. Kitu ambacho kinahitaji ushahidi ni kile amabacho siyo "Self Evident". Kama uwepo wa Mola hauhitaji ushahidi sababu ni "Self Evident". Mnao hitaji ushahidi ni wagonjwa wa akili na msio utaka ukweli, japo ishara za kuonyesha uwepo wa Mola ziko nyingi sana.

Kijana una akili ndogo sana, tuoe ushahidi ambao unahitajika kuthibitisha ya kuwa baba ako mzazi aliye kuzaa ni mkubwa kuliko wewe. Au ushawahi kusikia wapi wanathibitisha hili au kujadili hili ?

Ni wakati gani vipimo hivyo hutumika kupima umri ? Nataka ujenge hoja kwa mfano nilio utoa wa baba mzazi na mtoto. Halafu mnakataa kama hamna akili timamu.

Dhibitisha mungu yupo.
 
Sawa. Kwahio ipi ni kweli basi...?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi kukuambia ipi ni kweli, cha kufanya tutafute elimu tena elimu ambayo haipingani na akili.. maana elimu ikipingana na akili ujue huo ni Uongo.

Mfano Waswahili wana msemo wao wanasema"Ukiona vyaelea, VIMEUNDWA" huo msemo unaweza ukauchukua kama starting point kwenye kutafuta elimu juu ya viumbe na asili yao.
 
Back
Top Bottom