Invinsible
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 314
- 376
baba niliweka kitu cha spot, na tyre kutoka nje ni style yake hiyo gari ukiwa speed sana inatoa tyre nje ili iwe stable, na kupiga mluzi ni turbo imefunguka barabara,, achana na hiyo kitu kama huwezi endesha magari makubwa.Aisee hayo madude yana mtindo wa ku burst tyre zake. Kuwa makini kuna case kibao watu wamekufa.
pia ni 6cylinder kumbuka,, na turbo juu,, kama ungekua na kibanda chako pembeni ya barabara ningekiangusha kwa upepo. ila mbwembwe zote zile kwa sababu nilipakia askari wakubwa wenye vyeo ndo mana sikuogopa torch, kila nikishikwa majamaa wanapunga mkono tu baaasi. safari inaendelea.Aisee hayo madude yana mtindo wa ku burst tyre zake. Kuwa makini kuna case kibao watu wamekufa.
Hii ndio balaa kabisaFunga kazi ni Crown Majesta
hili ndo lile uliloninunulia eee?Hii ndio balaa kabisa View attachment 784244
Keep dreaming!hili ndo lile uliloninunulia eee?
🙂 🙂 hapana hicho chombo ni moto mpenzhili ndo lile uliloninunulia eee?
[emoji22] [emoji22]🙂 🙂 hapana hicho chombo ni moto mpenz
Vipi tena mbona unalia[emoji22] [emoji22]
la kwangu liko wapVipi tena mbona unalia
Linakuja vuta subirala kwangu liko wap
sawa[emoji19]Linakuja vuta subira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ingine ukiwapita na hiyo speed kutangulia kaburini usisahau kuwatumia picha tena
Nakubaliana na ww kabisa Huyu mnyama Majesta ni balaa jengine, 0-100 kph only in 4.6 sec ukitumia sport modeHii ndio balaa kabisa View attachment 784244
[emoji23] [emoji23]Ila ka Rav 4 kangu sjui kama mtaweza kukapita
Katakuua hapo mkuu. Achana na ligiIla ka Rav 4 kangu sjui kama mtaweza kukapita
Dah...Prof....1500cc engine at 2000rpm....and 3000cc engine at 1000rpm zina nguvu Sawa....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Udogo wa engine
matunda ya Hitler sometime nampenda coz alikuwa mzalendo sana Tanzania inaumaskini wa watu hawa.Spidi na nguvu nenda ujerumani,,
Physics ya wapi hii?!Gari yoyote yenye injini ya GX100 ogopa sana.likifungua hata uwe na range rover v8 na uko spidi 200 itakupita kama umesimama na huku yenyewe imeandikwa spidi 180