ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Hayo maziwa ni hela?
Hiyo inatakiwa kuitwa drinks vending machine/ milk vending machine. Kwa wenzetu walioendelea hapa duniani zipo nyingi tu hizo.

Mkuu watu wameifanya kana kwamba ndio 'invention'ya Kwanza duniani wakati hapo tu Kenya zipo.Ingawa tunawapongeza kwa kutuletea.
 
Ipo Kenya lkn Tz haikuwepo sio?

Kampeni za uzuri wa nyumba ni choo mmeshamaliza pande hizo mkuu?

Nimesema tunawapongeza kwa kuleta hiyo 'vending machine' ya maziwa lakini wasii'overrate' kupita kiasi Kama ndio ugunduzi umeanzia hapa kwetu.
Kuhusu kampeni za nyumba ni choo hata sijui maana huku nilipo tulifahamu umhimu wa choo kabla ya Uhuru.
 
Hio ya Soda hata Mwanza ilikuwepo tangu enzi za dew mountain.
Kumbe unalijua hilo, sasa kwanini uliniuliza kama nimewahi kuiona, tofauti ni maziwa na soda na za kondomu pia zipo, zote ni ATM japo mimi hupendelea kuita dispenser au vending machines.
 
Kumbe unalijua hilo, sasa kwanini uliniuliza kama nimewahi kuiona, tofauti ni maziwa na soda na za kondomu pia zipo, zote ni ATM japo mimi hupendelea kuita dispenser au vending machines.
Unaona Soda na Maziwa vinafanana sio?
 
Nimesema tunawapongeza kwa kuleta hiyo 'vinding machine' ya maziwa lakini wasii'overrate' kupita kiasi Kama ndio ugunduzi umeanzia hapa kwetu.
Kuhusu kampeni za nyumba ni choo hata sijui maana huku nilipo tulifahamu umhimu wa choo kabla ya Uhuru.
Hii 'vinding' tena mzee baba ni changamoto.
 
Mzee wao anawajengea mbuga,naskia na bahari atawajengea soon akimaliza inteneshino eapoti
 
Hii ni MILK ATM= MILK AUTOMATIC TELLER MACHINE, NA KUNA MONEY ATM= MONEY AUTOMATIC TELLER MACHINE they all count the amount money/milk that you require/asked for and delivere out to you SO THIS IS MILK ATM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sentensi za mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marahaba mjukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vendingi mashine hapo kwa jirani Nairobi toka 90s zipo.
Sasa km ni 90s kwa nini usipambane ukaileta hio teknolojia home,unakuja kuongea ongea ovyo baada ya mtu mwingine kutokua mbinafsi kuwajulisha watz wenzake kitu km hicho,ww ulipiga kimya.
Nyie ndio wale mnakimbilia dar,mkifanikiwa mnapakana kwenu huko geita.mnang'ang'ania mlizaliwa daslamu 🤣🤣
 
Kwa mawazo yako tu inaonekana Dar ni Bonge la Mji kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…