ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Tupeni siri basi, wenzenu huku kwetu ni GAMBOSH, chuki za kichama, kumbe ndio maana watu huwa wanawasema vibaya, leo nimejua aisee.

natamani niozeshe binti yangu huko kwenu , kanamalizia chuo hapo SUA Morogozro,

unajua ukisema binti yako anaolewa na mchagaa kitu cha kwanza watu watakupongeza na kukwambia atakuwa na maendeleo
 
Ilitakiwa iitwe milk vending machine lakini tumeelewa
 
Duh kasheshe! Nini mrefu cha ATM? Wenye lugha yao kwenye nchi zao wanaziita vending machines. Kuna za coca, Pepsi na snacks kama chips nyembamba na chocolate.
 
Hapa ndipo mnaharibu sasa!
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Hizi rayari zipo malindi mzee
 
Hata wakifeli watakua walithubutu na wataingia kwny records za 'ATM' ya kwanza ya Maziwa Tz wkt ambapo mikoa mingine nchini walikua ndo kwanza wakihimizana umuhimu wa kutumia vyoo.
 

ATM ya Pepsi ipo uwanja wa ndege Dar , karibu na arrival gate !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…