Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

Wengi wanaolalamika kelele ni wale waliokulia sigimbi huko Awilo wamemjulia kwa Konde Boy,
[emoji3]
Yani nacheka tu hapa kila nikikumbuka nyimbo za awilo mwanzo mwisho makelele na miaka ile hutuambii kitu aiseee bila makelele bado hujaimba nyimbo ya awilo daaah...............n mashabiki wake ni vichaa kweli kweli mpaka leo huko duniani
 
Mariooo namuonea huruma sana
Na hata hivyo mpaka kufikia hapo alipo basi dalili kipaji anacho sana maana huwezi kukataa kazi zake vingenevyo unapotezwa tu na hizi team 3 na katika hizi team 3 sababu wanajuwa hakuna kushuka daraja kama Super league wako wako tu hawafanyi kazi ila wanapewa kipaumbele. feel sorry kwa vijana wengi wenye vipaji.
 
Yani nacheka tu hapa kila nikikumbuka nyimbo za awilo mwanzo mwisho makelele na miaka ile hutuambii kitu aiseee bila makelele bado hujaimba nyimbo ya awilo daaah...............n mashabiki wake ni vichaa kweli kweli mpaka leo huko duniani
Wamuone hapa kwenye Coupe Bibamba,

Why all this???[emoji2369][emoji2369]
 
Nyie fans mko unfair sana.
Mpaka sasa Darassa hajafikisha followers 1.5m kwenye Instagram yake!
Hata kama mna matimu mjitahidii kusapoti vipaji.
 
Nyie fans mko unfair sana.
Mpaka sasa Darassa hajafikisha followers 1.5m kwenye Instagram yake!
Hata kama mna matimu mjitahidii kusapoti vipaji.
Ahahahahahaha hana team imekula kwake
 
Nyie fans mko unfair sana.
Mpaka sasa Darassa hajafikisha followers 1.5m kwenye Instagram yake!
Hata kama mna matimu mjitahidii kusapoti vipaji.
Yaani muziki sasa hivi ulivyo inategemeana tu uko team gani.

Yaani ukiwa na kondegang au WCB hata kama hujawahi kuimba, ukisainiwa tu siku hiyo hiyo unaweza kufanya collabo hata na Davido🤣🤣🤣
 
Hahaha Mkuu acha kujitia upofu,Wakuchukua kijiti cha Diamond bado ajaanza kuimba,Hivi unakumbuka balaah la Darasa na Nyimbo yake washa muziki? Au Ali kiba na Seduce Me? Leo wapo wapi ?, na wote hao walipimishwa ubavu na Diamond ila still yupo kwenye ubora wake

NOTE : Washa Muziki na Seduce me zilikua hit songs🎵 🎶
 
Hili bado ndugu.
 
Hakuna cha kufanya mambo ndivyo yalivyo
 
Wewe jua kuutofautisha Harmonize na hao unaowasema aisee. Yaani Harmonize ni diamond version mpya. Huyu ndo aliyeandaliwa kuuendeleza muziki pale diamond alipoishia. Akitoa highschool album utakuja kuniambia. Hao hawana constitency aliyonayo mmakonde. Pia Kuna drama flani wanakuaga nayo big artist Kama Michael Jackson, davido , na diamond wa kipindi hicho.... Vinasababisha kuongelewa hata anapokua hajatoa nyimbo.... Hivyo Harmonize anavyo. Aisee kuwa makini unapomfananisha Harmonize na akina kiba. Jiulize kwanini alikiba hajawah shambuliwa Kama Harmonize au huyo darasa kama aliwah shambuliwa Kama Harmonize. WCB wenyewe wanaujua Moto wa mmakonde.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alitugeuza vichaa haswa kwa mikelele yake kwenye hii nyimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
Kuna ngoma aliimba kiistaarabu katika album yake ile, ile mobimba ya mama kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…