miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
missstrong,Afadhali Gwajima kasema kweli ila wewe ndo umemwaga MATUSI mpaka ya kitandani ama kweli wewe ni miss strong.
Pengo ametuaibisha na kudharirisha wakristo kwa kujitenga na kujiamulia mambo yake mwenyewe huku akijwa mjumbe/mwanachama wa Baraza la Maaskofu.
Msimamo wa maaskofu kwa umoja wao ndio msimamo wa kanisa.....lakini Pengo nje ya umoja ule ni mtanzania na ana uhuru wakutoa maoni yake.Jaribu kutofautisha hizo kofia ndipo uje kubishana hapa.
Usitetee ujinga.......angetumia approach nzuri kuyasema hayo na sio matusi.Kosa halihalalishwi kwa mtu mwingine kutukana.
aisee.... Na mimi nimekudharau sana kwa hili kwa sababu hujui nini kinaendelea na hufikirii kuwa alichokifanya kardinali pengo ni kulitukanisha na kuligawanya kanisa mbele ya jamii ya watanzania
Huyu gwajima hana heshima hata kidogo. Hekima na mwenye akili hawezi kutamka hivi.
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.
Tulieni dose iwaingie wanafiki wakubwa mafarisayo na masadukayo ninyi hovyo kabisa.
Wewe una ethics zp za kumnyooshea kidole Gwajima?
kwa hili pengo kachemsha kwa sababu maazimio yalivyokuwa yanafanyika yeye alishiriki kama askofu, sasa leo haiwezekani atofautiane na wenzake kiasi hicho. kwa hili tunaomba ufafanuzi wake zaidi.
Mkuu Tume ya Katiba huyu pengo kweli ni mnafiki sana, kashapata mgawo wa Escrow, hakuna jina jingine la kuitwa zaidi ya mpuuzi, kwanza Pengo hamuwezi Gwajima kwa lolote lile hata kifedha.
CCM yenyewe inakodi vyombo vya kupigia kampeni kwa Gwajma alafu ndo watamuweza?
Alichosema Gwajma ndiyo ukristo huo unavyofundisha, hata yesu aliwaita wafalme wa roma na mafarsayo kuwa ni mbweha na wapumbavu.
I meant ZZK, that's how we call him down here in Mwandiga
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Mkuu Pengo sio mkuu wa Kanisa Katoriki Tanzania ni Askofu kama walivyo wengine na yeye ni Askofu wa Jimbo la Dsm tu, cheo chake cha heshma ni prince of the church, Msemaji wa Kanisa Tanzania ni Mwenyekiti wa TEC ambaye kwa sasa ni Ask Ngalalekumtwa na Makamu wake Ask Niwemugizi, hao ndio wasemaji wa mwisho wa Kanisa na Si vinginevyo hata pengo yuko chini yao.Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.